Kwanini uadress mtanzania mwenzako kwa kabila lake punguza Ukabila ndugu.AENDE NGORONGORO AKAWATOE WALE WAMASAI. WENGINE WALILIPWA HADI FIDIA ILA WAMERUDI NDANI YA HIFADHI.
Kuna vitanzania fulani hivi vilazaliwa na mapungufu kibao na vinaishi ishi tu kwasababu ya haki ya kuishi,, hivyo ndivyo vinavyoonekana kuwa na haki ya kuongoza nchi hii.Damas Ndumbaro anakuwaje waziri?
Nimemsikia mda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba had akafungiwa...
Kwanini uadress mtanzania mwenzako kwa kabila lake punguza Ukabila ndugu.
Mkuu ishu ya Ngorongoro ni zaidi ya wengi waijuavyo.AENDE NGORONGORO AKAWATOE WALE WAMASAI. WENGINE WALILIPWA HADI FIDIA ILA WAMERUDI NDANI YA HIFADHI.
Hawezi akajua yote hayo huyo mbaguzi.Mkuu ishu ya Ngorongoro ni zaidi ya wengi waijuavyo.
Kulikuwa na mradi wa kuwezesha jamii na wananyamapori kuishi pamoja kwenye hifadhi. Baadhi ya vijiji vilivyokuwa vinaishi kwenye hifadhi viliruhusiwa kuendelea kuishi humo kwa mkataba maalum, kuhakikisha hawadhuru ikolojia ya hifadhi, lakini pia kuwa sehemu ya ulinzi na vivutio. Mradi huu ulilenga pia kupunguza migogoro ya ardhi kati ya hifadhi na jamii zinazoishi karibu na hifadhi.
Hata hivyo, pasi na matarajio, watu walianza kuitana..baadhi ya wafanyakazi wakajikatia maeneo..mambo ni mengi kwa kweli.
Kama siyo yeye,atakuwa katumwa KigwangalaUtakuwa HK mzee wa bodaboda wewe.
Alifungiwa kujihusisha na soka maisha kwa utapeliDamas Ndumbaro anakuwaje waziri?
Nimemsikia mda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba had akafungiwa..
Ni aina ya wale 'watafuta fursa 'popote..
Kaanzia kwenye mpira ambako hakuna achievement yeyote inayoweza kumhusisha zaidi ya migogoro Hadi kama kaenda jaribu bahati kwenye ubunge akashinda Kwa mbeleko za chama
Now eti ni waziri halafu wizara nyeti Sana..
Wizara ya Utalii huyu mtu hafai hata ukatibu kata Kwa maoni yangu..
Anapewaje dhamana ya vitalu vyote vya uwindaji?.. dhamana ya kutangaza nchi na kutuletea watalii?
Tayari keshaanza kutia shaka..
Je maamuzi yake Yana 'Green light' kutoka hata Kwa waziri mkuu??
Mara asimamishe watu kazi mbele ya media mara awape vitalu waliowahi nyang'anywa ....
Ile 'lack of coordination ' aliyosema Rais Samia naiona waziwazi Kwa huyu..
Maamuzi yake Yana 'go ahead' kutoka wapi?
Bodi ya utalii?
Idara ya wanayama pori?
Ofisi ya waziri Mkuu?
Huyu Mtu amefikaje hapo wizara ya Utalii? Ndo kusema mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yeyote???
Hata wewe?Ndumbaro ni dalali!