Mtu kama Damas Ndumbaro anakuwaje Waziri?

Ndio machaguo ya mwendazake aliteua watu wa kuburuza
 
Wewe jamaa utakuwa mtu wa gubu na gundu sana. Halafu kuna wapuuzi wenzako wanakuona bonge la genius. Ila ni bonge la mshamba sana na roho mbaya kishenzi
 
Hayati ndio Aulizwe huko aliko
 
Umesahau amechangia kiasi kikubwa kuifilisi TAZARA. Alidanganya kuwa ile kesi ya ndege kule Afrika ya Kusini tumeshinda. Mara mzungu akaibukia Canada. Yeye na Mimacho wakawa kimya.
 
Hivi mwanaume kabisa mtu mzima!!unapataje ujasiri wa kumtuhumu mtu bila kuonyesha ushaidi,zaidi ya maneno matupu?!!
Ninavyojua hizo ni tabia za wanawake ndio wenye hulka hio.
 

Anaendana na jina lake Ngumbaro.
 
Magufuli yeye aliangalia Phd,aliamini yyte mwenyewe Phd basi yupo vizuri.
Hata huyu mama anavinasaba vya kupagawa na PhD. Laiti angejua hao wajinga hawanaga elimu ya mtaani ambayo ndio ya muhimu sana. At least uwe na Master ufanye kazi hata miaka sita ndio utafute PhD sasa mtunameunga toka undergraduate mpaka PhD sasa kuna nini hapo zaidi ya kuwa lecturer pekee? Au sanasana awe consultant
 
Wewe unaonekana ni mswahili ulie jaa hila na fitna!!unamuandika mtu kwa taarifa za uongo.
Unamtolea mtu tuhuma bila kuonyesha ushaidi wowote wa hizo tuhuma ulizoziweka hapa!! Unasikiliza maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa ndio unaleta hapa jukwaani.
 
Hao bodi ya utalii alisimamisha mkurugenzi wa kwa ushauri wa kipuuzi kutoka kwa CAG

Alipomsimamisha mtendaji mkuu wa bodi ya utalii; nilitegeme kuwa Mwenyekiti na bodi yake wangefuata, lakini haikuwa hivyo!!! Pengine tungoje baada ya tarihe 30/4 mambo mengi yatakapotokea! Ushauri wa CAG haukuwa wa kipuuzi hata kidogo, nitashangaa kama huyo mwenyekiti wa bodi hatatumbuliwa!
 
Mwenyekiti wa Board yawezekana Mamlaka ya uteuzyna utenguzi ipo kwa Rais ndio maana yeye akaamua kudeal na mtu aliye kwenye Mamlaka yake and probably amepeleka report nzima kwa Mkulu then ataamua yeye kuhusu Mwenyekiti wa Board.

Nachofahamu yule Mwenyekiti nadhani ni rtd. Thomas Mihayo.J, labda kuna mambo anayajua atamwambia Mkulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…