GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Safi sana Mkuu. Je, uliiona Siku ile Kazi ya Jamhuri Kihwelo Julio Mrema alivyomuweka Mfukoni kabisa Mshambuliaji Hatari wa SC Villa Magid Musisi?Mimi ni Simba kuliko unavyo dhani..
Nimeishi mtaa mmoja na Hassan Afif..
Super sub ..kocha mchezaji..
Na nilikuwepo uwanjani siku hiyo wanaipigia SC Villa ya Uganda 3-0..wanachukua ubingwa wa Africa Mashariki...
Huyu Jaji mstaafu inawezekana ndio chanzo cha matatizo ya mtendaji mkuu!! Huyu Jaji mstaafu historia yake ya huko nyuma akifanya kazi chini ya Jaji mkuu Nyalali haipendezi na alipewa vyeo na Mwendazake kwa kujuana tu!!!
Ngoja nifanye mbilinge mbilinge nipate hata 10x10 huko huko ndani.watu walianza kuitana..baadhi ya wafanyakazi wakajikatia maeneo..mambo ni mengi kwa kweli.
Nahisi Kama unafanya shambulio binafsiHuyu Mtu amefikaje hapo Wizara ya Utalii? Ndo kusema mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yoyote?
Mhhhhh!Damas Ndumbaro anakuwaje Waziri?
Nimemsikia muda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba hadi akafungiwa..
Ni aina ya wale 'watafuta fursa 'popote..
Kaanzia kwenye mpira ambako hakuna achievement yoyote inayoweza kumhusisha zaidi ya migogoro hadi kama kaenda jaribu bahati kwenye Ubunge akashinda Kwa mbeleko za chama
Now eti ni Waziri halafu wizara nyeti Sana..
Wizara ya Utalii huyu mtu hafai hata ukatibu kata Kwa maoni yangu.
Anapewaje dhamana ya vitalu vyote vya uwindaji?.. dhamana ya kutangaza nchi na kutuletea watalii?
Tayari keshaanza kutia shaka..
Je, maamuzi yake Yana 'Green light' kutoka hata Kwa waziri Mkuu?
Mara asimamishe watu kazi mbele ya media mara awape vitalu waliowahi nyang'anywa.
Ile 'lack of coordination ' aliyosema Rais Samia naiona waziwazi Kwa huyu.
Maamuzi yake Yana 'go ahead' kutoka wapi?
Bodi ya utalii?
Idara ya wanayama pori?
Ofisi ya Waziri Mkuu?
Huyu Mtu amefikaje hapo Wizara ya Utalii? Ndo kusema mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yoyote?
Wewe ni moja kati ya watu wapuuzi sana humu jukwaaniNilikuwa natamani sana kujua Unashabikia Timu ipi kati ya Giants Wawili Tanzania na leo angalau naweza Kuhisi Timu unayoshabikia kutokana tu na Maelezo yako katika Aya za mwanzo.
Hayo mengine ya Kiutendaji nakuachia Wewe na Mheshimiwa Rais Mama Samia, ila ninachojua tu ni kwamba mpaka Kateuliwa Yeye basi Vigezo vingi vilizingatiwa vya 'Kumchakata' na ndiyo maana akapewa Yeye hiyo Dhamana ya 'Docket' hiyo na ama hukupewa Wewe au hawakupewa hao uliodhani ( unaodhani ) wako competent Kumzidi Dkt. Damas Ndumbaro ( Mwana Simba SC Mwenzangu )
Muacheni tu afanye Kazi yake anaiweza.
Tell herMimi ni Simba kuliko unavyo dhani..
Nimeishi mtaa mmoja na Hassan Afif..
Super sub ..kocha mchezaji..
Na nilikuwepo uwanjani siku hiyo wanaipigia SC Villa ya Uganda 3-0..wanachukua ubingwa wa Africa Mashariki...
kwa izo slope za kuingia bure utakuja kutatuliwaSafi sana Mkuu. Je, uliiona Siku ile Kazi ya Jamhuri Kihwelo Julio Mrema alivyomuweka Mfukoni kabisa Mshambuliaji Hatari wa SC Villa Magid Musisi?
Bora Wewe uliingia Kihalali Mechi ile ila Mimi niliingilia Ukutani huku usawa wa ilipo Petrol Station ya Mgulani tena kwa kutumia Kamba halafu Hela inaiweka Mdomoni na ukifika kule Juu yule mwenye Kamba ( Askari ) anaanza kuinyofoa Pesa Mdomoni kisha anakuruhusu uzame Uwanjani.
Nimefurahi tu kujua Wewe ni Simba SC.
Marehemu dikteta alikuwa anajiteulia tu.bila kupokea ushauri wa mtu yeyote, vichaa ndiyo walivyoDamas Ndumbaro anakuwaje Waziri?
Nimemsikia muda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba hadi akafungiwa..
Ni aina ya wale 'watafuta fursa 'popote..
Kaanzia kwenye mpira ambako hakuna achievement yoyote inayoweza kumhusisha zaidi ya migogoro hadi kama kaenda jaribu bahati kwenye Ubunge akashinda Kwa mbeleko za chama
Now eti ni Waziri halafu wizara nyeti Sana..
Wizara ya Utalii huyu mtu hafai hata ukatibu kata Kwa maoni yangu.
Anapewaje dhamana ya vitalu vyote vya uwindaji?.. dhamana ya kutangaza nchi na kutuletea watalii?
Tayari keshaanza kutia shaka..
Je, maamuzi yake Yana 'Green light' kutoka hata Kwa waziri Mkuu?
Mara asimamishe watu kazi mbele ya media mara awape vitalu waliowahi nyang'anywa.
Ile 'lack of coordination ' aliyosema Rais Samia naiona waziwazi Kwa huyu.
Maamuzi yake Yana 'go ahead' kutoka wapi?
Bodi ya utalii?
Idara ya wanayama pori?
Ofisi ya Waziri Mkuu?
Huyu Mtu amefikaje hapo Wizara ya Utalii? Ndo kusema mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yoyote?
Magid Musisi alifarika December 2005Safi sana Mkuu. Je, uliiona Siku ile Kazi ya Jamhuri Kihwelo Julio Mrema alivyomuweka Mfukoni kabisa Mshambuliaji Hatari wa SC Villa Magid Musisi?
Bora Wewe uliingia Kihalali Mechi ile ila Mimi niliingilia Ukutani huku usawa wa ilipo Petrol Station ya Mgulani tena kwa kutumia Kamba halafu Hela inaiweka Mdomoni na ukifika kule Juu yule mwenye Kamba ( Askari ) anaanza kuinyofoa Pesa Mdomoni kisha anakuruhusu uzame Uwanjani.
Nimefurahi tu kujua Wewe ni Simba SC.
Njoo wewe ututoe! Tukul-witi!! Jinga sanaAENDE NGORONGORO AKAWATOE WALE WAMASAI. WENGINE WALILIPWA HADI FIDIA ILA WAMERUDI NDANI YA HIFADHI.
Jamaa alitia aibu taifa kwa kwenda kumpokea youtuber airport,jamaa zero kabisaDamas Ndumbaro anakuwaje Waziri?
Nimemsikia muda mrefu kwenye migogoro ya mpira mara aibukie TFF mara aibukie Simba hadi akafungiwa..
Ni aina ya wale 'watafuta fursa 'popote..
Kaanzia kwenye mpira ambako hakuna achievement yoyote inayoweza kumhusisha zaidi ya migogoro hadi kama kaenda jaribu bahati kwenye Ubunge akashinda Kwa mbeleko za chama
Now eti ni Waziri halafu wizara nyeti Sana..
Wizara ya Utalii huyu mtu hafai hata ukatibu kata Kwa maoni yangu.
Anapewaje dhamana ya vitalu vyote vya uwindaji?.. dhamana ya kutangaza nchi na kutuletea watalii?
Tayari keshaanza kutia shaka..
Je, maamuzi yake Yana 'Green light' kutoka hata Kwa waziri Mkuu?
Mara asimamishe watu kazi mbele ya media mara awape vitalu waliowahi nyang'anywa.
Ile 'lack of coordination ' aliyosema Rais Samia naiona waziwazi Kwa huyu.
Maamuzi yake Yana 'go ahead' kutoka wapi?
Bodi ya utalii?
Idara ya wanayama pori?
Ofisi ya Waziri Mkuu?
Huyu Mtu amefikaje hapo Wizara ya Utalii? Ndo kusema mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yoyote?
Hizo ndio type za watu wa jiwe aliokuwa anatakaDamas Ndumbaro anakuwaje Waziri?

Huyo atakumbukwa kwa kuua watuHao bodi ya utalii alisimamisha mkurugenzi wa kwa ushauri wa kipuuzi kutoka kwa CAG. Hicho kitalu hata PM hawezi kuweka ulimi wake. Wenye nchi wamerudi wanarejesha wanyama wao kibindoni. Tulieni sindano ziwaingie. Mtamkumbuka JPM muda si mrefu.
Usiwaamini CCM