Mtu kama Damas Ndumbaro anakuwaje Waziri?

Huyu jamaa sijawahi muelewa tangia akiwa naibu waziri mambo ya nje
 
Kwani ufisadi ulienda wapi hata urudi au naww niwalewale mliokuwa mnamezeshwa ujinga kwamba jamaa yenu kaondoa ufisadi

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Mbona uneishia njiani? Kisha ccm wakaMchukua tena baada ya kumuita mgonjwa, anayejinyea, hamuwezi kumpa Ikulu mgonjwa! Mbona haya hujayasema? Au bado Lowasa yuko Chadema? Balance story yako

Fisadi ni fisadi tuu akipewa nafasi...... CCM baada ya kumnyima nafasi zote za kufanya ufisadi na kuona nyie Chadema baada ya kumlia vihela vyake hamna utu wala huruma kwa mgonjwa wametumia utu na kukubali ombi lake la kurudi nyumbani akiwa amesalimu amri ili atunzwe...

Hata wewe ukifikia hali hiyo serikali ya CCM watakutunza, wala hawatakumbuka mbaya bali afya yako kwanza na huo ndio utu wa kitanzania 😂😂

Kazi inaendelea
 
Mhhhhh!
So obvious!
Why is this so obvious jamani?
Kwa vile haikuwa wewe ndo unamwandika mwenzio hivo?

Ndumbaro is not that person you are trying to mould...

He has integrity and knows his way....

At least he is not as Corrupt...!
Atleast he is not as corrupt as.... MHHHHHHHH!!!!!!!
 
Kwahio tunakubaliana kuwa CCM ndio wanafiki, Wazandiki na wana hio Cancer?? Na sio Chadema? Shukrani kwa kuliona hilo! Ingekua kujali afya yako kwanza na kama huo ndio Utanzania msingemtusi Lowasa kiasi kile, msingemnyima Lissu matibabu, Mawazo asingeuwawa mbele ya Wana CCM, kusingekua na matamshi ya chuki na ya kipuuzi kutoka kwa akina Hery James and the like....au unazungumzia utu UPI?
 
Huyu Mtu amefikaje hapo Wizara ya Utalii? Ndo kusema mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yoyote?
Yes the Boss! Mtu yeyote akiwa mbunge anaweza pewa wizara yoyote. Na ili kuwa mbunge unahitaji kujua kusoma na kuandika tu.
 

Wacha kukimbia hoja

Chadema wanaojinasibu kuwa wapinga rushwa hawana lolote ni utapeli na uzandiki tuu
Tena ni wanafiki kwelikweli
 
Wacha kukimbia hoja

Chadema wanaojinasibu kuwa wapinga rushwa hawana lolote ni utapeli na uzandiki tuu
Tena ni wanafiki kwelikweli
Uweke unafiki wao, nimekupa facts, sijawahi kukimbia hoja! Relax, nimeonyesha unafiki na ukatili wa CCM,, nionyeshe unafiki wa Chadema with facts
 
umeliweka vizuri kabisa. Damas Nsumbaro hana uwezo wowote wa kuifanya sekta ya UTALII ipige hatua. labda anaweza kufanya kazi vizuri kama Lecturer wa OUT lakini UTALII unahitaji mtu vibrant, proactive and creative. Vitu vyote hivyo Damas Ndumbaro hana. Yeye ni conservative, reactive and dull
 
Uweke unafiki wao, nimekupa facts, sijawahi kukimbia hoja! Relax, nimeonyesha unafiki na ukatili wa CCM,, nionyeshe unafiki wa Chadema with facts

Wanafiki wakubwa Chadema walijiuza kwa vipande vya fedha za fisadi 😂😂😂😂
 
Katika mawaziri ambao ni ineffective, poorest leadership, ni huyo Ndumbaro. I wonder, sijui kachaguliwa vp kuwa waziri, i hope mama Samia, atampiga chini in near future.
 
Mtatoka tu mbwaaa koko nyie. Ngorongoro ni urithi wetu sio muendelee kuzaliana kama panya ndani ya hifadhi.
Kama ni urithi wenu mbona sisi ndiyo tupo huku? Kama ni wa kwenu njooni basi muje kuuchukua muupeleke kwenu,sisi hapa ndiyo KWETU!! Wewe kwenu wapi? Kunguru wa buluu wewe!
 
huo ni wivu tu si tunawajua watz,kwani migogoro ya mpira imeisha?nani amefanikiwa kumaliza migogoro ya mpira tz.kwani kuwa waziri kunahitaji sifa gani ambazo ni perculiar.hata mbunge msukuma anaweza kuwa waziri.kwani pale wizarani mtendaji ni waziri pekee yake.upewe wewe tukuone kama utaperform.wivu ni sawa na uchawi.
 

Shikamoo the Boss
 
Hivi mwanaume kabisa mtu mzima!!unapataje ujasiri wa kumtuhumu mtu bila kuonyesha ushaidi,zaidi ya maneno matupu?!!
Ninavyojua hizo ni tabia za wanawake ndio wenye hulka hio.
Mpiga dili tu wewe. Tangu ulipokuwa Tazara! Kuna mtu asiye kufahamu wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…