Samia, Abduli, Kikwete, Rostam na matapeli wengine mama RidhiwaniIla anayestahili kutekwa ni nani?
Hata Wahuni si wakutekwa ila kukamatwa kwa mujibu wa sheria na taratibu ili wakajibu mashtaka wanayotuhumiwa nayoIla anayestahili kutekwa ni nani?
Perfect answerSamia, Abduli, Kikwete, Rostam na matapeli wengine mama Ridhiwani
100%Tujifunze Kuwa Cheo Dhamana Siku Ukitolewa Ukija Kuishi Ulimwengu Wa Kawaida Ulichokuwa Unawanyia Wenzako Na Wewe Utafanyiwa
Power is not Permanent
Na huu ujumbe umfikie kimama, atazeeka vibaya sana nakwambia.Tujifunze Kuwa Cheo Dhamana Siku Ukitolewa Ukija Kuishi Ulimwengu Wa Kawaida Ulichokuwa Unawanyia Wenzako Na Wewe Utafanyiwa
Power is not Permanent
Kina Ben Sanane ndiyo wanastahili kutekwa?Ndugu Humphrey Polepole akiwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi akiwapokea askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walipofika Lilongwe, nchini Malawi kutekeleza amri ya Amiri Jeshi Mkuu.
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walipeleka msaada wa kibinadamu kwa Serikali ya Malawi – chakula na vifaa vya kujihifadhi na kujiokoa kwa wananchi wa Malawi waliokumbwa na kimbunga FREDDY.
Kimbunga FREDDY kilichosababisha mafuriko yaliyoikumba nchi ya Malawi, kilitokea 13 Machi, 2023 na kusababisha madhara mbalimbali ikiwemo majeruhi, vifo vya zaidi ya watu 400, makazi, mali, miundombinu
Msaada wa kibinadamu uliotolewa ni pamoja na fedha taslim na vifaa mbalimbali thamani ya US$1,000,000. Chakula (unga) tani 1,000. Blanketi 6,000. Mahema 50. Helicopters 2 za kijeshi. Askari 100. US$300,000
Nataka kusema kwamba, mtu ambaye ametumikia Taifa kwa kiwango hiki hastahili kutekwa na kupotezwa. Hata kama yapo makosa ambayo anadhaniwa kutenda na kuvunja sheria, akamatwe na ashtakiwe.
Mtu ambaye amewahi kuhudumu kama mwenezi wa CCM Taifa, Mbunge wa Bunge la Tanzania, Mkuu wa Wilaya, hatakiwi kutekwa na kupotezwa kwa makosa ambayo ametenda – kama yapo. Utaratibu ufuatwe, ashtakiwe.
Tuna Jisahau Sana Hatuwazi Kesho Yetu Ulevi Wamadaraka Mbaya SanaNa huu ujumbe umfikie kimama, atazeeka vibaya sana nakwambia.
Safi sanaSamia, Abduli, Kikwete, Rostam na matapeli wengine mama Ridhiwani
Soma historia ya nchi hii na chama tawala (TANU-ASP/CCM), utapata majibu ya ki-muktadha ktk jambo hili.Ndugu Humphrey Polepole akiwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi akiwapokea askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walipofika Lilongwe, nchini Malawi kutekeleza amri ya Amiri Jeshi Mkuu.
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walipeleka msaada wa kibinadamu kwa Serikali ya Malawi – chakula na vifaa vya kujihifadhi na kujiokoa kwa wananchi wa Malawi waliokumbwa na kimbunga FREDDY.
Kimbunga FREDDY kilichosababisha mafuriko yaliyoikumba nchi ya Malawi, kilitokea 13 Machi, 2023 na kusababisha madhara mbalimbali ikiwemo majeruhi, vifo vya zaidi ya watu 400, makazi, mali, miundombinu
Msaada wa kibinadamu uliotolewa ni pamoja na fedha taslim na vifaa mbalimbali thamani ya US$1,000,000. Chakula (unga) tani 1,000. Blanketi 6,000. Mahema 50. Helicopters 2 za kijeshi. Askari 100. US$300,000
Nataka kusema kwamba, mtu ambaye ametumikia Taifa kwa kiwango hiki hastahili kutekwa na kupotezwa. Hata kama yapo makosa ambayo anadhaniwa kutenda na kuvunja sheria, akamatwe na ashtakiwe.
Mtu ambaye amewahi kuhudumu kama mwenezi wa CCM Taifa, Mbunge wa Bunge la Tanzania, Mkuu wa Wilaya, hatakiwi kutekwa na kupotezwa kwa makosa ambayo ametenda – kama yapo. Utaratibu ufuatwe, ashtakiwe.
Ndani ya CCM kuna makundi mawili ya ideology ktk mambo ya uchumi, hili kundi la kina Polepole unalo sema mara nyingi huwa lina tafsiriwa hivyo, binafsi sina hakika kama kweli wana chuki na matajiri, ila hatua zao za kiuongozi hupelekea taswira hio kujitokeza.Huyu jamaa alikuwa ni Mkomunisti asiyependa matajiri.