Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?



Kuanzia aliokaa nao, salimiana nao... Lala Nao, kula nao kwa 14days.... Ni wengi
 
Nakuombea kwa kweli uko uliko usipate korona tuzidi kukufaidi
Kifo ni kifo tu, iwe cha corona au kingine chochote kile.

Malaria mpaka leo inauwa watu wengi duniani kuliko kirusi chochote kile, hatu panic, eti leo mna panic kwa corona. Ujinga tu mnajazwa nao na nyie mmo tu.

Alhamdulillah nyie mnafundishwa leo kunawa mikono mara kwa mara kujikinga na corona, Waislam tunalijuwa hilo miaka zaidi ya 1400 sasa. Wala hatutishiki na Corona na tunafahamu namna ya kujikinga bila tatizo.
 
Bahati mbaya ugonjwa umeingia, Paschal siyo kila linaloombwa linakuja. Kama nchi tukuze upendo, wengi wetu wanachukia huu utawala na hii nchi kwa sasa. Nchi kila siku ipo kwenye headlines mbaya mbaya tu (Hakuna uzalendo hapo hata kidogo...)Je nitakuwa mzalendo nikiona watu wanakatwa mapanga na kuvuja damu? Mauaji yanayofanywa na watu wanaofahamika lakini hawafanywi chochote kwa sababu ni watu wa CCM.
Huyu Magufuli tangu ameingia anafanya mambo ya ajabu sana..Unaweza kumtetea Magufuli kwa sababu ni homeport wako lakini anayofanya ni ya kijinga mno.

Sijui ni utamaduni au ni inferiority complexes za watu wanaofanana nae au wafupi wa kimo..maana hata Napoleon Bonaparte wa France zamani hizo alikuwa na tabia hizo hizo....Bokassa, Hitler na wengineo.
Hizo tabia ni mbovu lakini anaona ni sawa tu...Rais huyu hataacha Legacy yoyote kama a great Statesman. Hotuba zake zimejaa matusi na ujinga...hazifai si kwa watoto tu au kwa wazee bali hata kwa familia nzima...Naamini hizo si tabia za alikotoka
 

Bwana Pascal,
Naona hukusoma saikolojia ukiwa chuo...! Hivi unafikiri huyu Technically kwann ameandika kuombea nchi ikumbwe na janga la Corona? Hivi wewe hujui kuwa UTAWALA HUU WA The 'homeboyz' wako Mr.Jiwe ameshajenga CHUKI KALI Sana ndani ya baadhi ya mioyo ya Watz?
Tukio la kushambulia kwa Viongozi wa CHADEMA NA KUFUNGULIWA KESI YA KIHUNI ATI ya kuvamia Gereza la Segerea Ni moja ya CHUKI MBAYA Sana anazotengeneza 'homeboyz' wako....!!
Sielewi Jiwe Ana nia gani hasa na Watz anapo nyanyasa.kutesa na hata kuua baadhi ya Wapinzani kisa SIYO Wana CCM...!
Hivi Bwana Pascal Nzala(Mayala) unafikiri Ni KWANINI watu hufikia stage ya KUVAA MABOMU na kwenda kujilipua kwenye kadamnasi ili WAFE WOTE...? Chanzo huwa Ni udikteta unaombatana na uonevu,uovu,unyanyasaji,utesaji na mauaji simply because somebody is from opposition parties....!!!

Huyu mtu aliyeandika hivo Yuko very desperate na akipata chance ya kutumia nyenzo yoyote kuikomoa Serikali Yuko tayari kwa lolote..! Mtu Kama huyu amefikia point of no return...!
Kumbuka Hawa Wapinzani wanaoonewa kila siku kwa kisingizio ya ATI kukosa uzalendo Wana ndugu,jamaa na marafiki na haijalishi wako upinzani au ndani ya mfumo wa Serikali....!
Nimalize na swali hili rahisi: Kwa akili yako ya Uandishi wa Habari na Ushushu unafikiri NI NANI KAMLISHA SUMU MZEE MANGULA? Je,atakuwa ametoka nje au ndani ya CCM? Yote hii ni matokeo ya CHUKI anazotengeneza homeboyz wako nje na ndani ya CCM..!
RAIS ANAYE CHOCHEA CHUKI NDANI YA CCM NA NJE KWA MAANA YA UPINZANI NI MTU HATARI SANA KWA USTAWI WA NJI HII....Mwisho wake utakuwa mbaya sana bila ya kujali atakuwa ameleta maendeleo gani katika nji hii...!!
 
Mambo mengine ni obvious...take it easy
 
Iran mbona wamekufa sana tatizo ni nini au hawajapatiwa mafunzo ya dini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema ni wajinga sana, unafikir huo ugonjwa ukija ndio mtapata ridhaa ya kwenda ikulu ama?

Alafu unafikiri atakae umia ni nani? Ni wewe na bibi, mama, dada, na babu zako kule kijijini.

Sent using Jamii Forums mobile app

..calm down.

..hili suala liko hivi.

..mtu wa kwanza anaombea corona ije.

..mtu wa pili ni kiongozi mwana-ccm ambaye hachukui hatua zozote za tahadhari kuwakinga wananchi na corona.

..sasa kati ya wahusika hao wawili unadhani yupi ni mzalendo? Yupi ni wakala wa shetani? Yupi ni mwendawazimu?
 
You need to think deeper, usilichukulie hili jambo juu juu, ni kwa nini watu wamefika huko? na huyo aliyesema hilo si lazima awe mwana chadema anaweza kuwa mtu mpenda haki asiye na chama lkn anagadhabishwa na matendo ya serikali.
Vyovyote itakavyokuwa huwezi kuomba maradhi katika jamii, maradhi hayataondosha dhuluma zaidi ya kuleta majonzi katika jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Ikianza ienze na Ukoo wako wote
 
Kama corona inaweza ikaja na ikawatafuna wanaccm pekee,ije hata kesho ili nchi yetu ipone,tena iingie kupitia baharini
 
Alianza kumchongea Kabendera kwa serikali na akafanikiwa kwa 100%, sasa ameanza kuwachongea members wenzie wa jf. Yote kwa yote anataka uteuzi, ama kweli NJAA mbaya!!
 

mkuu samahani sana, stupidity person ndio nini ?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu mtu hana huruma kabisa namfananisha na ccm isivyokuwa na huruma kwa watanzania ambao ni wa vyama vya upinzani hasa CHADEMA wakati wengine ni ndugu zao wa damu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…