Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?

Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?

Sasa mbona unamshushia matusi kutokana na ukweli aliouelezea? Hizo ni chuki binafsi zilizopandwa kwa muda mrefu umetafuta tu mazingira kumshushia hadhi kiharifu kwa mtindo huohuwezi kumwambia mwenzio '...next is you....' are you guaranteed and vouched with God's will?

Mawakala wa ukuwadi na uharifu ndio mnajitokeza nusu nusu miktafuta nafasi kujidhihirisha bayana unafananaje na kwa ajili ya nini!!!

Mheshimuni P, hata kama hukubaliani na mambo mengine mnayoyajua lakini kwa hili umemwonea pasipo kuwa na sababu zozote.
Inaelekea hufuatilii mambandiko ya huyu mnafiki..
 
Hii ipo kwenya katiba sawa,lakini kiuhalisia mambo yako vingine kabisa.Sijui kama unakumbuka swali ulilouliza kipindi kile bado una akili kuwa

" muheshimiwa umetumia mamlaka gani kutangaza zuio la mikutano ya siasa mpaka 2020"
Alitumia 'tamko' la mamlaka ya Urais (Decree) ambalo hutungiwa utaratibu wa utekelezaji wake. Maelekezo yalitolewa tayari kufanyika kwake ni kitu gani kizingatiwe
 
Duh...!., Mkuu tzkwanza , hata kumuombea mtu Corona imuue mke wake au ndugu zake ni ushetani pia, and mtu kumuombea mabaya mtu mwingine yoyote, karma ya maombi hayo can reverse!.
Asante.
P
Wakati wanampiga mtu risasi 30 na 16 zikampata lakini hakufa mlikuwa hamlioni hilo? Karma inauma pande zote kaka Paskali! Tulishalisema sana hapa JF, Kuwa tenda haki na mema ili siku ukiondoka tutakulilia lakini kwa hili lililotokea? Nani ahuzunike? Kwanini mlazimishe watu wahuzunike? Hatumpendi na hatukumpenda kwa ubaguzi na upendeleo uliokuwepo, mauaji, upoteaji wa watu, uonevu wa polisi, kuumizwa watanzania na kuonewa wananchi. Hangakieni ninyi wenyewe na mtakatifu wenu.
 
Duh...!.
P
Haitatokea rais mbaya, mbaguzi, muonevu, mbabe, asiyejali maisha ya watanzania kama huyu. Angalia sasa watu hawatapotea, hawatauawa, hawatasingiziwa kwa makosa wasiyofanya, hawataumizwa, hawatanyang'anywa mali zao walizopata kwa kuhangaika na serikali, Ma DC hawatafunga watu bila makosa, wakurugenzi hawataacha kutangaza aliyeshinda kihalali na tutapata katiba mpya. Sisi hatutaacha kupaza sauti kupinga udhalimu wa huyu Magufuli. Wananchi vaeni masks mjikinge na COVID-19, denialist hayupo tena, tuendane na dunia, aliyekataa kuvaa hayupo tena.
 
Mnafiki mkubwa wewe...mlamba matako....Kuwa neutral ni kitu kizuri....kafie mbele mshenzi mkubwa wewe....Next is you
Nasikitika matusi kama haya yanatolewa na mtu niliyehisi mkatoliki mwenzangu.
Kwani kutofautiana na mtu itikadi kuna ubaya gani?
Amekudhuru?
Ameua?
Ameshiriki mauaji?
Kwa nn tuombeane mabaya?
Wewe baki na itikadi yako naye abaki na yake shida iko wapi?
Ngoja kwanza mnyooshwe na wale jamaa wa Somalia kwa muda mumkumbuke Mwendazake vizuri
 
Binadamu kama haya hawakosekani, wasikuumize kichwa...

Kuna wale ambao wanaombea hata tuchapane kidogo, utadhani kamavile vita au risasi inachagua...
 
Nasikitika matusi kama haya yanatolewa na mtu niliyehisi mkatoliki mwenzangu.
Kwani kutofautiana na mtu itikadi kuna ubaya gani?
Amekudhuru?
Ameua?
Ameshiriki mauaji?
Kwa nn tuombeane mabaya?
Wewe baki na itikadi yako naye abaki na yake shida iko wapi?
Ngoja kwanza mnyooshwe na wale jamaa wa Somalia kwa muda mumkumbuke Mwendazake vizuri
Huyu ni mnafiki sana
 
Hivi kweli kuna Watanzania wenzetu wenye akili zao timamu kabisa, kwa vile wao sio CCM hivyo wana chuki ya ajabu na serikali ya Magufuli mpaka kufikia hatua ya kuiombea nchi yetu majanga kwa kuomba janga la ugonjwa wa Corona litue nchini mwetu ili kuikomoa serikali kwa kuona jinsi itakavyo kabiliana nalo?!

Corona ikija, atakayeteseka ni serikali au ni mwana CCM pekee?!
Ccm wangekufa wote kwa haya maradhi watu tupumue
Duh...!.
P
 
Back
Top Bottom