Mtu kama Mwaipopo aliunga mkono Bandari kuuzwa kwa Waarab tumpuuze!!

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Hivi kuna mwendawazimu atakaa amsikilize huyu anayejiita Mwaipopo?. Huyu huyu ndo aliunga mkono bandari kuuzwa eti kisa wale ni Waarab, yaani ni zero kabisa.

Yaani watu wanasahau suala la maslah ya nchi utaifa kwanza unatangulizwa na sio mihemko ya kidini

Sijui mnyakyusa gani huyu? Ni kichaa tu anayeweza muelewa huyu sheikh hamna sheikh pale

Anasema eti kanisa kwanini linatoa tamko akija muislam, wanasahau kanisa hili hili ndo lilikua linamkemea Magufuli bila kupepesa macho!! Kina kitima hawahawa ndo kipindi cha mwendazake walisimama na kupinga utekaji na watu kupotea.

Mpuuzeni huyu mtu, kinachonikera anajifanya ni msemaji wa waislam, anasahau waislam 90% hatukubaliani na dhulma za maccm maana sisi wenyewe ni wahanga wa hizi tawala

Amesahau kipindi cha Kikwete ndo Masheikh walikamatwa, kuteswa, na kusota Rumande kwa makosa ya ugaidi na kuikosoa serikali, hakuna aliyekua anawatetea ispokua Chadema na kina lissu ambaye walisimama kidete kupinga kukamatwa kwa masheikh muda huo kina mwaipopo walikua wapi

Watanzania na waislam naomba tumpuuze huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ni mchonganishi, muongo na mzushi asiye na elimu na wanaomlipa tuwajua aendelee kuropoka kama hatujawataja wanaompa fedha mpaka anajenga majumba ya kifahari Mbweni.
 
HUYU NI POPO ANALALA MIGUU JUU KICHWA CHINI
 
😀😀
 
Well said .. Huyu Mwaipopo ni mjasiria dini usingae yupo kwenye Uislamu kutafuta ngawira tu ..
 
Huyo ni mpmbbv mmoja hafai hata kujadaliwa

Ova
 
Mwaipopo baada ya kupewa kiroba chake cha mchele ndio nafsi ikamsuta
1000414289.jpg
 
Hivi kuna mwendawazimu atakaa amsikilize huyu anayejiita Mwaipopo?. Huyu huyu ndo aliunga mkono bandari kuuzwa eti kisa wale ni Waarab, yaani ni zero kabisa.

Yaani watu wanasahau suala la maslah ya nchi utaifa kwanza unatangulizwa na sio mihemko ya kidini

Sijui mnyakyusa gani huyu? Ni kichaa tu anayeweza muelewa huyu sheikh hamna sheikh pale

Anasema eti kanisa kwanini linatoa tamko akija muislam, wanasahau kanisa hili hili ndo lilikua linamkemea Magufuli bila kupepesa macho!! Kina kitima hawahawa ndo kipindi cha mwendazake walisimama na kupinga utekaji na watu kupotea.

Mpuuzeni huyu mtu, kinachonikera anajifanya ni msemaji wa waislam, anasahau waislam 90% hatukubaliani na dhulma za maccm maana sisi wenyewe ni wahanga wa hizi tawala

Amesahau kipindi cha Kikwete ndo Masheikh walikamatwa, kuteswa, na kusota Rumande kwa makosa ya ugaidi na kuikosoa serikali, hakuna aliyekua anawatetea ispokua Chadema na kina lissu ambaye walisimama kidete kupinga kukamatwa kwa masheikh muda huo kina mwaipopo walikua wapi

Watanzania na waislam naomba tumpuuze huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ni mchonganishi, muongo na mzushi asiye na elimu na wanaomlipa tuwajua aendelee kuropoka kama hatujawataja wanaompa fedha mpaka anajenga majumba ya kifahari Mbweni.

Hawajasahau. Ni maslahi binafsi.
 
Kati ya Mwaipopo aliyeunga mkono kuuzwa kwa Bandari ambalo sasa hivi inafanya kazi kwa ufanisi na Serikali inapata zaidi kabla ya hapo na Lissu anayeunga mkono USHOGA, unamchagua nani?
 
Hivi kuna mwendawazimu atakaa amsikilize huyu anayejiita Mwaipopo?. Huyu huyu ndo aliunga mkono bandari kuuzwa eti kisa wale ni Waarab, yaani ni zero kabisa.

Yaani watu wanasahau suala la maslah ya nchi utaifa kwanza unatangulizwa na sio mihemko ya kidini

Sijui mnyakyusa gani huyu? Ni kichaa tu anayeweza muelewa huyu sheikh hamna sheikh pale

Anasema eti kanisa kwanini linatoa tamko akija muislam, wanasahau kanisa hili hili ndo lilikua linamkemea Magufuli bila kupepesa macho!! Kina kitima hawahawa ndo kipindi cha mwendazake walisimama na kupinga utekaji na watu kupotea.

Mpuuzeni huyu mtu, kinachonikera anajifanya ni msemaji wa waislam, anasahau waislam 90% hatukubaliani na dhulma za maccm maana sisi wenyewe ni wahanga wa hizi tawala

Amesahau kipindi cha Kikwete ndo Masheikh walikamatwa, kuteswa, na kusota Rumande kwa makosa ya ugaidi na kuikosoa serikali, hakuna aliyekua anawatetea ispokua Chadema na kina lissu ambaye walisimama kidete kupinga kukamatwa kwa masheikh muda huo kina mwaipopo walikua wapi

Watanzania na waislam naomba tumpuuze huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ni mchonganishi, muongo na mzushi asiye na elimu na wanaomlipa tuwajua aendelee kuropoka kama hatujawataja wanaompa fedha mpaka anajenga majumba ya kifahari Mbweni.
Hivi alimaliza hata form 4?

Au ndio mambo ya proud to be 🤣
 
Mwaipopo si chawa tu bali inzi mchafu anayewatumia waislam na uislam kwa faida zake binafsi
 
Tutaendelea kujua tu shida yenu ilipo, tunajua Wala sio habari za Sheria za uchaguzi.......mna lenu tu jambo kuuubwa sana!
 
Kuna vitu Mwaipopo anaongea vya msingi sana, japo ana elimu ndogo sana katika dini ya Uislamu.

1. Mfano ana hoji, Yeye Askofu ana toa amri kama nani ? Shida yenu Wakristo mnapenda sana kudeka na kujiona ndio mna haki sana kwenye hii nchi.

2. Askofu ni muongo wa wazi na kwanini Wakristo hamuhoji hili ? Haiwezekani aseme wazi kwa kunukuu maneno ya uongo na kudai ya kuwa Lisu anataka haki na anataka wakae mezani. Huu ni uongo wa wazi. Askofu angekuwa na akili na muadilifu alitakiwa kwanza amkanye Lisu kwa utovu wake wa adabu na kutoa kauli za uvunjifu wa amani.

Nukta ziko nyingi, ila nawaasa Wakristo, na ma Askofu waache ujinga na wawe na adabu. Hawana kima chochote kwenye nchi hii.
 
Hivi katika Yale aliyo yaongea Mwaipopo kuhusu Maaskofu, unaweza kuainisha yapi siyo sahihi na kwanini ?
Well said .. Huyu Mwaipopo ni mjasiria dini usingae yupo kwenye Uislamu kutafuta ngawira tu .. ka
 
Mwaipopo si chawa tu bali inzi mchafu anayewatumia waislam na uislam kwa faida zake binafsi
Sasa si mngejibu Yale anayo yaongea ?

Maaskofu wanatoa amri kwa serikali wao kama nani katika nchi hii ?

Je, ni uongo Lisu hajatoa kauli za uvunjifu wa amani ?

Mbona mnajitoa ufahamu kiasi hiki, kwa vitu vidogo kama hivi ?

Au nyinyi kwenu kila linaongewa na Maaskofu ni sahihi ? Hawakisei ? Acheni Uhayawahi, mmepewa akili mzitumie vizuri

Hivi unajua gharama ya kuirudisha amani au mnajiandikia tu kisa mmeshiba na mna bando za kuwawezesha kuandika mnayo taka ?
 
Maswali yako licha ya kuwa ya kitoto wala si maswalli. Kwani maaskofu siyo watanzania? Je Lissu ametiwa. hatiani na mahakama gani au chombo chochote cha kutoa haki? Heri sie twajitoa ufahamu kuliko wewe unayejitoa utu na kugeuzwa chawa kirahisirahisi na kirejareja. Nadhani. hii itaingia vizuri.
 
Back
Top Bottom