Maswali yangu huwezi kuyajibu hata nikupe miaka miaka.Maswali yako licha ya kuwa ya kitoto wala si maswalli. Kwani maaskofu siyo watanzania? Je Lissu ametiwa. hatiani na mahakama gani au chombo chochote cha kutoa haki? Heri sie twajitoa ufahamu kuliko wewe unayejitoa utu na kugeuzwa chawa kirahisirahisi na kirejareja. Nadhani. hii itaingia vizuri.
Kama wao ni kama wewe, wewe unaweza kuipa amri serikali ifanye unavyotaka wewe ? Swali la msingi Kabisa linatoa amri kwa Serikali wao kama nani ?
Ametiwa hatiani kwa kutoa kauli za kiuchochezi, au kauli zake hujazisikia wewe ? Mbona unakuwa kama mwendawazimu kijana ?
Mimi sio Chawa na siwezi kuwa Chawa, sababu Nina misimamo yangu, lakini siwezi kukaa kimya ninapo ona ujinga na uzandiki unao letwa na hao Maaskofu na wanasiasa. Sababu hii nchi ni yetu sote, na heshima kwa viongozi na adabu ni jambo la wajibu kwetu sisi.
Shida tu hizi nchi zetu ni za kidemokrasia ambao kwa Imani yangu ni USHETANI, ila mtu kama Lisu kwa kauli zake zile, angekuwa nchi zinazosimamia haki na hazitaki ujinga, asingekuwepo kwenye mgongo wa ardhi. Hili lipo tangu zamani.