HUYU NI POPO ANALALA MIGUU JUU KICHWA CHINIHivi kuna mwendawazimu atakaa amsikilize huyu anayejiita Mwaipopo?. Huyu huyu ndo aliunga mkono bandari kuuzwa eti kisa wale ni Waarab, yaani ni zero kabisa.
Yaani watu wanasahau suala la maslah ya nchi utaifa kwanza unatangulizwa na sio mihemko ya kidini
Sijui mnyakyusa gani huyu? Ni kichaa tu anayeweza muelewa huyu sheikh hamna sheikh pale
Anasema eti kanisa kwanini linatoa tamko akija muislam, wanasahau kanisa hili hili ndo lilikua linamkemea Magufuli bila kupepesa macho!! Kina kitima hawahawa ndo kipindi cha mwendazake walisimama na kupinga utekaji na watu kupotea.
Mpuuzeni huyu mtu, kinachonikera anajifanya ni msemaji wa waislam, anasahau waislam 90% hatukubaliani na dhulma za maccm maana sisi wenyewe ni wahanga wa hizi tawala
Amesahau kipindi cha Kikwete ndo Masheikh walikamatwa, kuteswa, na kusota Rumande kwa makosa ya ugaidi na kuikosoa serikali, hakuna aliyekua anawatetea ispokua Chadema na kina lissu ambaye walisimama kidete kupinga kukamatwa kwa masheikh muda huo kina mwaipopo walikua wapi
Watanzania na waislam naomba tumpuuze huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ni mchonganishi, muongo na mzushi asiye na elimu na wanaomlipa tuwajua aendelee kuropoka kama hatujawataja wanaompa fedha mpaka anajenga majumba ya kifahari Mbweni.
😀😀Hivi kuna mwendawazimu atakaa amsikilize huyu anayejiita Mwaipopo?. Huyu huyu ndo aliunga mkono bandari kuuzwa eti kisa wale ni Waarab, yaani ni zero kabisa.
Yaani watu wanasahau suala la maslah ya nchi utaifa kwanza unatangulizwa na sio mihemko ya kidini
Sijui mnyakyusa gani huyu? Ni kichaa tu anayeweza muelewa huyu sheikh hamna sheikh pale
Anasema eti kanisa kwanini linatoa tamko akija muislam, wanasahau kanisa hili hili ndo lilikua linamkemea Magufuli bila kupepesa macho!! Kina kitima hawahawa ndo kipindi cha mwendazake walisimama na kupinga utekaji na watu kupotea.
Mpuuzeni huyu mtu, kinachonikera anajifanya ni msemaji wa waislam, anasahau waislam 90% hatukubaliani na dhulma za maccm maana sisi wenyewe ni wahanga wa hizi tawala
Amesahau kipindi cha Kikwete ndo Masheikh walikamatwa, kuteswa, na kusota Rumande kwa makosa ya ugaidi na kuikosoa serikali, hakuna aliyekua anawatetea ispokua Chadema na kina lissu ambaye walisimama kidete kupinga kukamatwa kwa masheikh muda huo kina mwaipopo walikua wapi
Watanzania na waislam naomba tumpuuze huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ni mchonganishi, muongo na mzushi asiye na elimu na wanaomlipa tuwajua aendelee kuropoka kama hatujawataja wanaompa fedha mpaka anajenga majumba ya kifahari Mbweni.
Hivi kuna mwendawazimu atakaa amsikilize huyu anayejiita Mwaipopo?. Huyu huyu ndo aliunga mkono bandari kuuzwa eti kisa wale ni Waarab, yaani ni zero kabisa.
Yaani watu wanasahau suala la maslah ya nchi utaifa kwanza unatangulizwa na sio mihemko ya kidini
Sijui mnyakyusa gani huyu? Ni kichaa tu anayeweza muelewa huyu sheikh hamna sheikh pale
Anasema eti kanisa kwanini linatoa tamko akija muislam, wanasahau kanisa hili hili ndo lilikua linamkemea Magufuli bila kupepesa macho!! Kina kitima hawahawa ndo kipindi cha mwendazake walisimama na kupinga utekaji na watu kupotea.
Mpuuzeni huyu mtu, kinachonikera anajifanya ni msemaji wa waislam, anasahau waislam 90% hatukubaliani na dhulma za maccm maana sisi wenyewe ni wahanga wa hizi tawala
Amesahau kipindi cha Kikwete ndo Masheikh walikamatwa, kuteswa, na kusota Rumande kwa makosa ya ugaidi na kuikosoa serikali, hakuna aliyekua anawatetea ispokua Chadema na kina lissu ambaye walisimama kidete kupinga kukamatwa kwa masheikh muda huo kina mwaipopo walikua wapi
Watanzania na waislam naomba tumpuuze huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ni mchonganishi, muongo na mzushi asiye na elimu na wanaomlipa tuwajua aendelee kuropoka kama hatujawataja wanaompa fedha mpaka anajenga majumba ya kifahari Mbweni.
Kati ya Mwaipopo aliyeunga mkono kuuzwa kwa Bandari ambalo sasa hivi inafanya kazi kwa ufanisi na Serikali inapata zaidi kabla ya hapo na Lissu anayeunga mkono USHOGA, unamchagua nani?Hivi kuna mwendawazimu atakaa amsikilize huyu anayejiita Mwaipopo?. Huyu huyu ndo aliunga mkono bandari kuuzwa eti kisa wale ni Waarab, yaani ni zero kabisa.
Yaani watu wanasahau suala la maslah ya nchi utaifa kwanza unatangulizwa na sio mihemko ya kidini
Sijui mnyakyusa gani huyu? Ni kichaa tu anayeweza muelewa huyu sheikh hamna sheikh pale
Anasema eti kanisa kwanini linatoa tamko akija muislam, wanasahau kanisa hili hili ndo lilikua linamkemea Magufuli bila kupepesa macho!! Kina kitima hawahawa ndo kipindi cha mwendazake walisimama na kupinga utekaji na watu kupotea.
Mpuuzeni huyu mtu, kinachonikera anajifanya ni msemaji wa waislam, anasahau waislam 90% hatukubaliani na dhulma za maccm maana sisi wenyewe ni wahanga wa hizi tawala
Amesahau kipindi cha Kikwete ndo Masheikh walikamatwa, kuteswa, na kusota Rumande kwa makosa ya ugaidi na kuikosoa serikali, hakuna aliyekua anawatetea ispokua Chadema na kina lissu ambaye walisimama kidete kupinga kukamatwa kwa masheikh muda huo kina mwaipopo walikua wapi
Watanzania na waislam naomba tumpuuze huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ni mchonganishi, muongo na mzushi asiye na elimu na wanaomlipa tuwajua aendelee kuropoka kama hatujawataja wanaompa fedha mpaka anajenga majumba ya kifahari Mbweni.
Hivi alimaliza hata form 4?Hivi kuna mwendawazimu atakaa amsikilize huyu anayejiita Mwaipopo?. Huyu huyu ndo aliunga mkono bandari kuuzwa eti kisa wale ni Waarab, yaani ni zero kabisa.
Yaani watu wanasahau suala la maslah ya nchi utaifa kwanza unatangulizwa na sio mihemko ya kidini
Sijui mnyakyusa gani huyu? Ni kichaa tu anayeweza muelewa huyu sheikh hamna sheikh pale
Anasema eti kanisa kwanini linatoa tamko akija muislam, wanasahau kanisa hili hili ndo lilikua linamkemea Magufuli bila kupepesa macho!! Kina kitima hawahawa ndo kipindi cha mwendazake walisimama na kupinga utekaji na watu kupotea.
Mpuuzeni huyu mtu, kinachonikera anajifanya ni msemaji wa waislam, anasahau waislam 90% hatukubaliani na dhulma za maccm maana sisi wenyewe ni wahanga wa hizi tawala
Amesahau kipindi cha Kikwete ndo Masheikh walikamatwa, kuteswa, na kusota Rumande kwa makosa ya ugaidi na kuikosoa serikali, hakuna aliyekua anawatetea ispokua Chadema na kina lissu ambaye walisimama kidete kupinga kukamatwa kwa masheikh muda huo kina mwaipopo walikua wapi
Watanzania na waislam naomba tumpuuze huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ni mchonganishi, muongo na mzushi asiye na elimu na wanaomlipa tuwajua aendelee kuropoka kama hatujawataja wanaompa fedha mpaka anajenga majumba ya kifahari Mbweni.
Mwaipopo si chawa tu bali inzi mchafu anayewatumia waislam na uislam kwa faida zake binafsiHivi kuna mwendawazimu atakaa amsikilize huyu anayejiita Mwaipopo?. Huyu huyu ndo aliunga mkono bandari kuuzwa eti kisa wale ni Waarab, yaani ni zero kabisa.
Yaani watu wanasahau suala la maslah ya nchi utaifa kwanza unatangulizwa na sio mihemko ya kidini
Sijui mnyakyusa gani huyu? Ni kichaa tu anayeweza muelewa huyu sheikh hamna sheikh pale
Anasema eti kanisa kwanini linatoa tamko akija muislam, wanasahau kanisa hili hili ndo lilikua linamkemea Magufuli bila kupepesa macho!! Kina kitima hawahawa ndo kipindi cha mwendazake walisimama na kupinga utekaji na watu kupotea.
Mpuuzeni huyu mtu, kinachonikera anajifanya ni msemaji wa waislam, anasahau waislam 90% hatukubaliani na dhulma za maccm maana sisi wenyewe ni wahanga wa hizi tawala
Amesahau kipindi cha Kikwete ndo Masheikh walikamatwa, kuteswa, na kusota Rumande kwa makosa ya ugaidi na kuikosoa serikali, hakuna aliyekua anawatetea ispokua Chadema na kina lissu ambaye walisimama kidete kupinga kukamatwa kwa masheikh muda huo kina mwaipopo walikua wapi
Watanzania na waislam naomba tumpuuze huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ni mchonganishi, muongo na mzushi asiye na elimu na wanaomlipa tuwajua aendelee kuropoka kama hatujawataja wanaompa fedha mpaka anajenga majumba ya kifahari Mbweni.
Tutaendelea kujua tu shida yenu ilipo, tunajua Wala sio habari za Sheria za uchaguzi.......mna lenu tu jambo kuuubwa sana!Hivi kuna mwendawazimu atakaa amsikilize huyu anayejiita Mwaipopo?. Huyu huyu ndo aliunga mkono bandari kuuzwa eti kisa wale ni Waarab, yaani ni zero kabisa.
Yaani watu wanasahau suala la maslah ya nchi utaifa kwanza unatangulizwa na sio mihemko ya kidini
Sijui mnyakyusa gani huyu? Ni kichaa tu anayeweza muelewa huyu sheikh hamna sheikh pale
Anasema eti kanisa kwanini linatoa tamko akija muislam, wanasahau kanisa hili hili ndo lilikua linamkemea Magufuli bila kupepesa macho!! Kina kitima hawahawa ndo kipindi cha mwendazake walisimama na kupinga utekaji na watu kupotea.
Mpuuzeni huyu mtu, kinachonikera anajifanya ni msemaji wa waislam, anasahau waislam 90% hatukubaliani na dhulma za maccm maana sisi wenyewe ni wahanga wa hizi tawala
Amesahau kipindi cha Kikwete ndo Masheikh walikamatwa, kuteswa, na kusota Rumande kwa makosa ya ugaidi na kuikosoa serikali, hakuna aliyekua anawatetea ispokua Chadema na kina lissu ambaye walisimama kidete kupinga kukamatwa kwa masheikh muda huo kina mwaipopo walikua wapi
Watanzania na waislam naomba tumpuuze huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ni mchonganishi, muongo na mzushi asiye na elimu na wanaomlipa tuwajua aendelee kuropoka kama hatujawataja wanaompa fedha mpaka anajenga majumba ya kifahari Mbweni.
Kuna vitu Mwaipopo anaongea vya msingi sana, japo ana elimu ndogo sana katika dini ya Uislamu.Hivi kuna mwendawazimu atakaa amsikilize huyu anayejiita Mwaipopo?. Huyu huyu ndo aliunga mkono bandari kuuzwa eti kisa wale ni Waarab, yaani ni zero kabisa.
Yaani watu wanasahau suala la maslah ya nchi utaifa kwanza unatangulizwa na sio mihemko ya kidini
Sijui mnyakyusa gani huyu? Ni kichaa tu anayeweza muelewa huyu sheikh hamna sheikh pale
Anasema eti kanisa kwanini linatoa tamko akija muislam, wanasahau kanisa hili hili ndo lilikua linamkemea Magufuli bila kupepesa macho!! Kina kitima hawahawa ndo kipindi cha mwendazake walisimama na kupinga utekaji na watu kupotea.
Mpuuzeni huyu mtu, kinachonikera anajifanya ni msemaji wa waislam, anasahau waislam 90% hatukubaliani na dhulma za maccm maana sisi wenyewe ni wahanga wa hizi tawala
Amesahau kipindi cha Kikwete ndo Masheikh walikamatwa, kuteswa, na kusota Rumande kwa makosa ya ugaidi na kuikosoa serikali, hakuna aliyekua anawatetea ispokua Chadema na kina lissu ambaye walisimama kidete kupinga kukamatwa kwa masheikh muda huo kina mwaipopo walikua wapi
Watanzania na waislam naomba tumpuuze huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ni mchonganishi, muongo na mzushi asiye na elimu na wanaomlipa tuwajua aendelee kuropoka kama hatujawataja wanaompa fedha mpaka anajenga majumba ya kifahari Mbweni.
Ili muonekane mna akili timamu mlitakiwa mkosoe kwa hoja kile anacho kidai.Huyo ni mpmbbv mmoja hafai hata kujadaliwa
Ova
Well said .. Huyu Mwaipopo ni mjasiria dini usingae yupo kwenye Uislamu kutafuta ngawira tu .. ka
Swali ni je ?Huyo ni chawa tu mchumia tumbo
Sasa si mngejibu Yale anayo yaongea ?Mwaipopo si chawa tu bali inzi mchafu anayewatumia waislam na uislam kwa faida zake binafsi
Maswali yako licha ya kuwa ya kitoto wala si maswalli. Kwani maaskofu siyo watanzania? Je Lissu ametiwa. hatiani na mahakama gani au chombo chochote cha kutoa haki? Heri sie twajitoa ufahamu kuliko wewe unayejitoa utu na kugeuzwa chawa kirahisirahisi na kirejareja. Nadhani. hii itaingia vizuri.Sasa si mngejibu Yale anayo yaongea ?
Maaskofu wanatoa amri kwa serikali wao kama nani katika nchi hii ?
Je, ni uongo Lisu hajatoa kauli za uvunjifu wa amani ?
Mbona mnajitoa ufahamu kiasi hiki, kwa vitu vidogo kama hivi ?
Au nyinyi kwenu kila linaongewa na Maaskofu ni sahihi ? Hawakisei ? Acheni Uhayawahi, mmepewa akili mzitumie vizuri
Hivi unajua gharama ya kuirudisha amani au mnajiandikia tu kisa mmeshiba na mna bando za kuwawezesha kuandika mnayo taka ?