Mtu kama Mwaipopo aliunga mkono Bandari kuuzwa kwa Waarab tumpuuze!!

Maswali yangu huwezi kuyajibu hata nikupe miaka miaka.

Kama wao ni kama wewe, wewe unaweza kuipa amri serikali ifanye unavyotaka wewe ? Swali la msingi Kabisa linatoa amri kwa Serikali wao kama nani ?

Ametiwa hatiani kwa kutoa kauli za kiuchochezi, au kauli zake hujazisikia wewe ? Mbona unakuwa kama mwendawazimu kijana ?

Mimi sio Chawa na siwezi kuwa Chawa, sababu Nina misimamo yangu, lakini siwezi kukaa kimya ninapo ona ujinga na uzandiki unao letwa na hao Maaskofu na wanasiasa. Sababu hii nchi ni yetu sote, na heshima kwa viongozi na adabu ni jambo la wajibu kwetu sisi.

Shida tu hizi nchi zetu ni za kidemokrasia ambao kwa Imani yangu ni USHETANI, ila mtu kama Lisu kwa kauli zake zile, angekuwa nchi zinazosimamia haki na hazitaki ujinga, asingekuwepo kwenye mgongo wa ardhi. Hili lipo tangu zamani.
 
Amani ni jambo nyeti na adhimu sana, amani inatakiwa ilindwe kwa nguvu zote. Na sisi hatuwezi kukubali amani kuvunjwa kwa WAJINGA wachache kwa maslahi yao binafsi.

Sisi ni Watanzia na hatutaki ujinga.
 
Du! Sina la kusema bali kukupa pole kwa hilo zigo la ujinga
 
Amani ni jambo nyeti na adhimu sana, amani inatakiwa ilindwe kwa nguvu zote. Na sisi hatuwezi kukubali amani kuvunjwa kwa WAJINGA wachache kwa maslahi yao binafsi.

Sisi ni Watanzia na hatutaki ujinga.
Amani gani na ipi bila haki na utu bali dhuluma na u hawa mwanangu?
 
Uyo sio mwaipopo atakuwa popo wanyukyusa wamenyokaa hawana mbili
 
Anatumika kuumiza watu huku akijificha kwenye mgongo wa dini.
 
Kuna watu wapo nyuma yake
 
Amani gani na ipi bila haki na utu bali dhuluma na u hawa mwanangu?
Haki gani unayoisemea ? Daima haki kupata ina taratibu zake, ila haki haitakiwi kuleta uvunjifu wa amani. Hizo ni harakati.
 
Tatizo ndugu yangu wa Imani Ikulu kuna fungu halikaguliwi na yeyote huenda ama ni mnufaika au anavizia kupata chochote kupitia uchawa Uchwara
 
Namchagua bibi yako
Kati ya Mwaipopo aliyeunga mkono kuuzwa kwa Bandari ambalo sasa hivi inafanya kazi kwa ufanisi na Serikali inapata zaidi kabla ya hapo na Lissu anayeunga mkono USHOGA, unamchagua nani?
 
Mwaipopo ni miongoni mwa aina za POPO Takataka ambao tumebahatika Kuwa nao hapa nchini!
 
Shehe ubwabwa TU huyu! Hajitambui kabisa!
 
Tufanye ni kweli Bandari ilikuwa Kwa Waarabu.

Swali TRA na TPA wanafanya nini hapo bandarini na hela wanazokusanya Zinatoka wapi?
 
Kati ya Mwaipopo aliyeunga mkono kuuzwa kwa Bandari ambalo sasa hivi inafanya kazi kwa ufanisi na Serikali inapata zaidi kabla ya hapo na Lissu anayeunga mkono USHOGA, unamchagua nani?
Nani kakudanganya wewe kama inafanya vizuri, unasikiliza kelele za Mashawa, nenda field ujionee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…