haa mym
JF-Expert Member
- Jul 7, 2014
- 4,885
- 4,679
Siasa kali za Kibiti we unaziunga mkono? Hii nchi sio ya kidini tujifunze kufuata Sheriaumeongea ukweli mtupu..eti jitu zima linajisifia tunawamwaga ubongo kama tulivowamwaga wale wa kibiti..
Siasa kali za Kibiti we unaziunga mkono? Hii nchi sio ya kidini tujifunze kufuata Sheriaumeongea ukweli mtupu..eti jitu zima linajisifia tunawamwaga ubongo kama tulivowamwaga wale wa kibiti..
Kama msigwa amesema "Ukivujisha siri za serikali" unaenda kuokotwa sembuse huyo ambaye katiba yetu inamlinda hata AKIUA.Kuna TISS yuko UDOM anaona ufahari kuua wenzake , watanzania wenzake.
Very sad!
Back in my days wakati udom imeanza, ilikuwa ni breeding ground kwa TISS kuselect vijana, wengi walichukuliwa hapo so sishangaiKuna TISS yuko UDOM anaona ufahari kuua wenzake , watanzania wenzake.
Very sad!
Uko sahihi.Back in my days wakati udom imeanza, ilikuwa ni breeding ground kwa TISS kuselect vijana, wengi walichukuliwa hapo so sishangai
What change ni regime, current regime inawapenda ma snitch sana
sawa.Yote kwa Yote.MARIDHIANO na KATIBA MPYA sambamba na kufumua mifumo iliyopitwa na wakati muda ndo huu bado hatujachelewa.Siasa kali za Kibiti we unaziunga mkono? Hii nchi sio ya kidini tujifunze kufuata Sheria
Damu hula damu ameshazoea huyo haogopi damuKuna TISS yuko UDOM anaona ufahari kuua wenzake , watanzania wenzake.
Very sad!
Kwani lipi jukumu lako kwenye haya?nonsense 🐒
Ukiitaji kiwanja, nyumba, gari, nicheki PMDodoma kila mtu anajikuta ni mtu wa usalama.
Geita kila mtu ni mfanyabiashara wa dhahabu..
Sasa sijui huko dsma💀💀💀