Mtu kipenyo, anaona ufahari kuua watu! Watanganyika wenzake

Kuna TISS yuko UDOM anaona ufahari kuua wenzake , watanzania wenzake.
Very sad!
Back in my days wakati udom imeanza, ilikuwa ni breeding ground kwa TISS kuselect vijana, wengi walichukuliwa hapo so sishangai

What change ni regime, current regime inawapenda ma snitch sana
 
Nipe picha yake mkuu,maana mwezi ujao ntakuwa hapo dom Kuna m,radi tunakuja kupiga,ili nimuee kisheria nimgonge na Gredaa live na watu wanaona,kisha ntapelekwa mahakamani baada ya hapo,Sheria itaamua kuwa mtu yeyote ni kosa kuwA karibu MITA mia na Gredaa ikipiga kazi kisha ntakuwa huru,
 
77 ndiyo mwisho wao.tutakinukisha kwelikweli na kwa nguvu kubwa sana hadi tuikomboe nchi yetu iliyoharibiwa na hawa wahuni wa mwanakwerekwe
 
Back in my days wakati udom imeanza, ilikuwa ni breeding ground kwa TISS kuselect vijana, wengi walichukuliwa hapo so sishangai

What change ni regime, current regime inawapenda ma snitch sana
Uko sahihi.
 
Nadhan elimu yetu pia ina shida somewhere...huwezi kuwa msomi alafu ukashabika kifo cha mtu!

The most precious asset on earth..basi tu watawala wetu wameshindwa kuwekeza na ku harness the benefits of human resourcs asset wanaishia kutupumbaza na kututisha.
 
Atakufa mdomo wazi cku ikifika aiko mbali soon.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Dodoma kila mtu anajikuta ni mtu wa usalama.
Geita kila mtu ni mfanyabiashara wa dhahabu..
Sasa sijui huko dsma๐Ÿ’€๐Ÿ’€๐Ÿ’€
Ukiitaji kiwanja, nyumba, gari, nicheki PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ