Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,346
- Thread starter
- #21
We online unaweza chat na wangapi?ukiwa na watu 20 na wapo active lazima uchoke na wengine wa karibu ukiwachunia wanaona unaringa,ukificha last seen wanajua hujaona
Mkuu kama unaogopa watu wasione unaringa wakati kiukweli hauringi basi hauko huru...