Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Mie sijaificha, mtu akienda anaona tu visit yangu ya mwisho ilikuwa lini!
Hongera Kuwait muwazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie sijaificha, mtu akienda anaona tu visit yangu ya mwisho ilikuwa lini!
Wakati mwingine ni kukwepa tu usumbufu usio wa lazima...
Usumbufu kama upi boss
!
!
last seen inaleta kutoelewana bana. Mie nimeitolea mbali whatsapp yenyewe. Bora nile opera tu.
Mi napendekeza iwe hivi......
Unaangalia last seen ya mtu ili iweje? Kujitakia shida zisizo na sababu.
ili ujue kwann ha reply sms yako
Mi napendekeza iwe hivi......
last seen kwenye wassap ni upuuzi sana kama mwenzi wako ni mtu wa kukufuatilia kipimbi pimbi...... tatizo la wassap msg inaweza ikaingia ukaisoma lakini ukawa haupo kwenye nafasi ya kujibu , baada ya muda unashangaa unapigiwa simu vipi mbona kimya?
unajibu nipo busy na kazi au nafanya kitu fulani ............ halafu mtu anakuuliza mbona wassap last seen uliingia saa fulani na kuna saa fulani pia uliingia.......
aaaaaaagh!!! mimi ilishanikera tu hiyo , nimeifutilia mbali..... heri ya nusu shari kuliko shari robo robo za kila siku.
Wengine usipomjibu kwa mda mwafaka na kaona last see lazima pachimbike heri kuficha tu
Hongera Kuwait muwazi