Mtu kuficha "last seen info" kwenye Whatsapp... Swali...

Mtu kuficha "last seen info" kwenye Whatsapp... Swali...

Unaangalia last seen ya mtu ili iweje? Kujitakia shida zisizo na sababu.
 
Kuondoa kero za wale waliokiremu mtu ukiwa online basi unachat tu.
 
ili ujue kwann ha reply sms yako

Kuangalia last seen hakukufahamishi kuwa "kwa nini hajibu SMS"..!
Mtu aweza kusoma akaona ajibu akiwa ametulia. Mpe mda, tatizo wengi tulio kwenye mahusiano tuna panic haraka Sana. Kidogo tu unahisi mwenzako anajihusisha na mtu mwingine, kumbe wala.
 
last seen kwenye wassap ni upuuzi sana kama mwenzi wako ni mtu wa kukufuatilia kipimbi pimbi...... tatizo la wassap msg inaweza ikaingia ukaisoma lakini ukawa haupo kwenye nafasi ya kujibu , baada ya muda unashangaa unapigiwa simu vipi mbona kimya?

unajibu nipo busy na kazi au nafanya kitu fulani ............ halafu mtu anakuuliza mbona wassap last seen uliingia saa fulani na kuna saa fulani pia uliingia.......

aaaaaaagh!!! mimi ilishanikera tu hiyo , nimeifutilia mbali..... heri ya nusu shari kuliko shari robo robo za kila siku.

Huko ni kukosa uhuru boss
 
Wengine usipomjibu kwa mda mwafaka na kaona last see lazima pachimbike heri kuficha tu

jana demu wangu palichimbika kweli hajaficha last seen alafu sms hajibu.
 
Back
Top Bottom