Mtu kuficha "last seen info" kwenye Whatsapp... Swali...

Wakati mwingine ni kukwepa tu usumbufu usio wa lazima...
 
Hatupendi tu mambo yetu yalikane. Mimi sio tu nimeficha last seen bali nimeficha hata Status na Profile Picture ambapo kama sijasevu namba yako hivyo vitu huvioni.

Hauko huru... ndani ya "nchi" ya whatsapp...
 
sasa mkuu Tuko mbona naambiwa kama naficha last seen yangu sitaweza kuona za wengine pia!
 
Last edited by a moderator:
kama unajiamini na mambo yako,usiri usiri wa nn .

Kaka nimekulia mazingira ya yaliyonifanya niamini katika usiri, so ni mazoea tu kama ambavyo unahitaji kuwa kwenye contact list zangu ili uone status na profile yangu.
 
sasa mkuu Tuko mbona naambiwa kama naficha last seen yangu sitaweza kuona za wengine pia!

Hiyo sijui kwakweli coz sijawahi jaribu...
Mi mtu huru bana...
 
Last edited by a moderator:
Nini maana halisi ya last seen? last seen refers to the last time
the contact used WhatsApp. Sawaa?
 
Bora na mm niwe mtu huru kama wewe tu, haina haja ya kufichama mtu asikuone wakati hata wewe humuoni

Sasa mkuu wewe ulitaka kuficha yako huku ukichungilia za wenzio...
We mbayaa
 
last seen kwenye wassap ni upuuzi sana kama mwenzi wako ni mtu wa kukufuatilia kipimbi pimbi...... tatizo la wassap msg inaweza ikaingia ukaisoma lakini ukawa haupo kwenye nafasi ya kujibu , baada ya muda unashangaa unapigiwa simu vipi mbona kimya?

unajibu nipo busy na kazi au nafanya kitu fulani ............ halafu mtu anakuuliza mbona wassap last seen uliingia saa fulani na kuna saa fulani pia uliingia.......

aaaaaaagh!!! mimi ilishanikera tu hiyo , nimeifutilia mbali..... heri ya nusu shari kuliko shari robo robo za kila siku.
 
We online unaweza chat na wangapi?ukiwa na watu 20 na wapo active lazima uchoke na wengine wa karibu ukiwachunia wanaona unaringa,ukificha last seen wanajua hujaona

Msaada jinsi ya kuficha last seen
 
i hide last seen at ,profile pic and status.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…