Mtu kupita bila kupingwa ndani ya Jimbo na Kata ni kunyima uhuru wa Wananchi

Mtu kupita bila kupingwa ndani ya Jimbo na Kata ni kunyima uhuru wa Wananchi

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
Haiingii akilini kutangazwa MTU kapita bila kupingwa.

Kila uchaguzi iwepo kanuni ya uwepo wa mgombea zaidi ya mmoja hata kama ni chama kimoja endapo vyama vingine havisimamishi kwasababu mbalimbali.
 
Afu ccm tu ndio hupita bila kupingwa. Jiwe ubunge wake wote alikuwa anapita bila kupingwa. Maajabu haya
 
HAKUNA aliyepita Bila KUPINGWA ni UKATILI na MWENDAZAKE ila MUNGU ni FUNDI
 
Back
Top Bottom