Mtu kureport ametukanwa kisa kazidiwa hoja ni utoto

Mtu kureport ametukanwa kisa kazidiwa hoja ni utoto

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Kuna watu humu wanaroho nyepesi sana.

Yaani hawana emotional maturity kabisa

Yaani nimeanzisha uzi unakuja na maneno machafu, then na kujibu kiustaarabu alafu una report kwa modz eti umetukanwa?

Aisee mnachekesha sana.

Anyways..

Najua mimi ni platinum maana hakuna kiumbe mwingine hapa wa kuniweka kwenye box ambalo mimi simo.

When someone triggers something in you it is not their problem it is yours.
 
Wewe wamalize wote tu sisi wengine tutahudhuria mazishi tu
 
Back
Top Bottom