Mtu kutoa harufu ya dawa ni ishara kuwa ameathirika?

Mtu kutoa harufu ya dawa ni ishara kuwa ameathirika?

Ni kweli, baadhi ya watumiaji wa dawa za kufubaza virusi wanaweza kuwa na harufu fulani.

Hata hivyo, ni ngumu sana kujua kama ni kutokana na maambukizi ama la!. Uhakika ni kujua kwa kufanya vipimo stahiki.

Na endapo kweli anatumia dawa, basi mimi nadhani ni jambo la kupongezwa.
 
Hiyo ni mi amoxryn na mi azuma mkuu, pen v n.k ndio inatoa harufu.

Hii hata la saba B tunafahamu
 
Nimekutana naye zaidi ya mara tatu, na kila nikikutana naye anatoa harufu kama ya dawa hivi.

Na hii harufu pia huwa naisikia nikikutana na mtu mmoja ambaye taarifa zilizopo ni kuwa anatumia dawa na mumewe alipotea.

Hii pisi ni pisi haswa na inaonekana kabisa nikigusa tu, imo.

Nishaurini wadau iko salama kweli?
Harufu inatoka sehem gani mkuu? kwenye mkojo wake? kwenye ngozi au wapi hasa?
 
Nimekutana naye zaidi ya mara tatu, na kila nikikutana naye anatoa harufu kama ya dawa hivi.

Na hii harufu pia huwa naisikia nikikutana na mtu mmoja ambaye taarifa zilizopo ni kuwa anatumia dawa na mumewe alipotea.

Hii pisi ni pisi haswa na inaonekana kabisa nikigusa tu, imo.

Nishaurini wadau iko salama kweli?
shida n je harufu ya dawa gani uckute ni mitishamba ya kiganga huko ya kuvutia wanaume, na umekua muhanga namba 1 in the list. pambana na hari yako 🙄
 
shida n je harufu ya dawa gani uckute ni mitishamba ya kiganga huko ya kuvutia wanaume, na umekua muhanga namba 1 in the list. pambana na hari yako 🙄
Hamna mkuu ni hizi dawa za kisasa
 
Iv mpk leo hii kuna watu mnacheza peku peku at the first meeting 😂
 
Muangalie kwny taya kama zimevimba...achana na harufu...
Au makovu yao ya upele au kidonda ni meusi tiii hayana ile rangi nyeupe katikakati...🙁
 
Huyo atakua amepata maradhi ya wanyama, anatibiwa hospitali za wanyama.
 
Back
Top Bottom