Mtu kutoa harufu ya dawa ni ishara kuwa ameathirika?

Ni kweli, baadhi ya watumiaji wa dawa za kufubaza virusi wanaweza kuwa na harufu fulani.

Hata hivyo, ni ngumu sana kujua kama ni kutokana na maambukizi ama la!. Uhakika ni kujua kwa kufanya vipimo stahiki.

Na endapo kweli anatumia dawa, basi mimi nadhani ni jambo la kupongezwa.
 
Kwa hiyo unakubaliana na hisia zangu kuwa kaungua?

Kapimeni HIV kuwa na uhakika, mbona ni kipimo simple tu!

Ukitumia hata antibiotics unapata unatoa jasho au mkojo wenye uko na harufu
 
Hiyo ni mi amoxryn na mi azuma mkuu, pen v n.k ndio inatoa harufu.

Hii hata la saba B tunafahamu
 
Harufu inatoka sehem gani mkuu? kwenye mkojo wake? kwenye ngozi au wapi hasa?
 
shida n je harufu ya dawa gani uckute ni mitishamba ya kiganga huko ya kuvutia wanaume, na umekua muhanga namba 1 in the list. pambana na hari yako πŸ™„
 
Ni baada ya matumizi ya muda gani harufi inatoka?
 
shida n je harufu ya dawa gani uckute ni mitishamba ya kiganga huko ya kuvutia wanaume, na umekua muhanga namba 1 in the list. pambana na hari yako πŸ™„
Hamna mkuu ni hizi dawa za kisasa
 
Iv mpk leo hii kuna watu mnacheza peku peku at the first meeting πŸ˜‚
 
Muangalie kwny taya kama zimevimba...achana na harufu...
Au makovu yao ya upele au kidonda ni meusi tiii hayana ile rangi nyeupe katikakati...πŸ™
 
Huyo atakua amepata maradhi ya wanyama, anatibiwa hospitali za wanyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…