Mtu kwao, hakuna Rais asiyeendeleza kwao

Mtu kwao, hakuna Rais asiyeendeleza kwao

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Sio mama Kizimkazi tu hata Nyerere aliijenga sana Butiama.
Hayati Magufuli allijenga sana Chato.
Lissu anaanza mapokezi kwao, akipata Urais atajenga sana kwao
 
Sio mama kizimkazi tu hata nyerere aliijenga sana butiama.
Magufuli allijenga sana Chato.

Lissu anaanza mapokezi kwao, akipata urais ataujenga sana kwao
Kwa Butiama umechapia sana na hujui kitu kuhusu Tanganyika yetu,unafuta justification ya anachofanya Mzanzibari mwenzako Samia huko Kizimkazi.
 
The sun at home Tanganyika warms better than the sun elsewhere.
The sun at home Tanganyika charges better than the sun elsewhere.
The sun at home Tanganyika heals better than the sun elsewhere.

Hata mimi ninajenga kwetu.
 
Tuwekee kitu kimoja cha maana alichojenga mwl pale Butiama, iwe hata nyumbani kwake kabisa.
Ni ruksa kuokoteza hata Bunda na Musoma.
 
Achana na chawa huyo
Lengo lake ni kujaribu kujustify wanaokwiba hela za kodi na kupendelea kwao sema akili yake ndogo.
Kaharibu kabisa.
 
Back
Top Bottom