digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
hivi vidonge si vizur kwa mtu mwenye mzio na sulphur
ndugu yangu mmoja alivimba miguu na kuota malengelenge mwili mzima
baada ya kuvimeza
binafsi nikivimeza ninawashwa mwili mzima na kuvimba
kuwen makini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kifupi nasema mkome wote! Mimi mara ya mwisho kutumia dawa ya kitu kinachoitwa maralia ni mwaka 1999. Tena ilikuwa chroroquin, baadaye nikaacha kabisa kuumwa maralia hadi leo, maralia is a hoax..ni ugonjwa fake.
Kipo kitu kingine kinachosababisha dalili zinazoitwa maralia, ila wajinga sisi tumefichwa, unaambiwa una maralia unatibia maralia kumbe unatengenezwa ili uwe mteja. Hahah
Siumwi na sitaumwa maralia, dawa nshaijua, sio hospitali.
Yaani kuku aumwe na mimi mwenye akili niumwe, haiwezekani. Endeleeni kuumwa ninyi kuku na ng'ombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bahati mbaya kwamba wabongo hatuangalii afya zetu kabla , kuna wakati kulikuwa na kesi polisi kuhusu mtja kuuziwa dawa iliyombabua , Polisi wakakamata Mwenye Pharmacy lakini baadaye TFDA Wakaingilia na kutaka mwenye duka aachiwe kwa vile jambo la kujua vinavyomdhuru mtu linamhusu mtu mwenyewe , na kwa vile dawa iliuzwa kihalali mahali sahihi duka haliwezi kubebeshwa lawamaSuala la vidonge vyenye Sulfur mlichukulie serious sana, Mwaka 2018 hizo Metakefrin zilitaka kumuuwa mke wangu, ni bahati tu alipona lakini hali ilikuwa mbaya ngozi iliungua yote hadi mdomoni na ingawa hakupata madhara kwenye viuongo vikubwa
kama Ini ingawa macho hadi leo yanamsumbua
Kwa kifupi nasema mkome wote! Mimi mara ya mwisho kutumia dawa ya kitu kinachoitwa maralia ni mwaka 1999. Tena ilikuwa chroroquin, baadaye nikaacha kabisa kuumwa maralia hadi leo, maralia is a hoax..ni ugonjwa fake.
Kipo kitu kingine kinachosababisha dalili zinazoitwa maralia, ila wajinga sisi tumefichwa, unaambiwa una maralia unatibia maralia kumbe unatengenezwa ili uwe mteja. Hahah
Siumwi na sitaumwa maralia, dawa nshaijua, sio hospitali.
Yaani kuku aumwe na mimi mwenye akili niumwe, haiwezekani. Endeleeni kuumwa ninyi kuku na ng'ombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba hizo metakeflin atumie albino huwenda rangi ikabadilika akawa mweusi.Hafidh Damson Masokola (57) alikuwa katika na rangi yeusi kama watu wengine lakini mwaka 2010 alipougua malaria na kuanza kutumia metakeflin alibadirika na kuwa albino.
Masokola, mkazi wa Tabora anadai kuwa hakuwa anajua kuwa ana mzio na Sulphur, madini ambayo yako mengi kwenye dawa hizo alizotumia.
Madiliko yalianza taratibu kama ngozi yake kukosa ungavu. Aliporudi kwa madaktari alikosa kupata dawa ya kuweza kumrudisha katika hali yake ya mwanzo lakini walimpa ushauri wa kutumia chakula bora kama mboga za majani na matunda.
miaka 10 iliyopita inasemekana aliugua malaria na kutumia dawa aina ya Metakelfine hiyo ilipelekea mabadiliko yaliyomfanya kuwa mtu mwenye Ualbino na uchunguzi wa madaktari ulithibitisha kuwa mwili wake unawingi wa madini ya Sulphur
Masokola kwa sasa anatumia sunscreen ambayo inatumiwa na albino kwa kuwa ngozi yake humuuma sana akipigwa na jua.
View attachment 1362696
Nilikuwa kila baada ya wiki mbili naumwa malaria na natumia dawa, baadaye nikaona ngoja nisimeze dawa nione nini kitatokea. Ilinipelekesha kama wiki hivi after that ikapona yenyewe. From that day inakuja napata dalili kama siku tatu hivi naipotezea na inapotea yenyewe. Ni zaidi ya miaka 3 sasa sijatumia dawa ya malaria. Mwili umejitengenezea kingaNakuamini100% mimi nilikuwa muhanga wa kunywa dawa kila baada ya wiki mbili eti nina malaria, na dalili zote nasikia!
Ilitokea nikakaa miaka mitatu kwenye eneo ambayo halina haya mauzauza ya malaria, nilivyorudi Dar hii, miezi kama sita nikapata tena zile sign za malaria sikunywa dawa nilipona na hadi leo sijawahi pata tena miaka miwili sasa.
Hebu nipe kaujanja kako nisaidie wanaougua bado.
Kwakweli dawa zenye Sulfur ni za kuogopa sana, kwa namna nilijionea kwa wife ni hatari hadi madaktari walisema huwa ni bahati tuwengi hufariki haraka sanaNi bahati mbaya kwamba wabongo hatuangalii afya zetu kabla , kuna wakati kulikuwa na kesi polisi kuhusu mtja kuuziwa dawa iliyombabua , Polisi wakakamata Mwenye Pharmacy lakini baadaye TFDA Wakaingilia na kutaka mwenye duka aachiwe kwa vile jambo la kujua vinavyomdhuru mtu linamhusu mtu mwenyewe , na kwa vile dawa iliuzwa kihalali mahali sahihi duka haliwezi kubebeshwa lawama
Hizi dawa kwa kweli acha tu!mwaka juzi nilimeza baada ya kugundulika nina maralia!!aisee bwana bwana,bila kujua si zikaja kuunguza maiki[emoji16]!!yaani ilikuwa balaa kwa shemeji yenu akajua nimechepuka nimelivagaa gonjwa la zinaa!ilikuwa balaa na noma kilo mbili!!!ikabidi nirudi hospital nimuonyeshe doctor !!ndo kugundua nina aleji nazo ndo maana imeunguza mpaka "maiki"[emoji16][emoji16][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi Imeniunguza kama mara 3 Mpaka Kuja Kuigundua aisee,.Hizi dawa kwa kweli acha tu!mwaka juzi nilimeza baada ya kugundulika nina maralia!!aisee bwana bwana,bila kujua si zikaja kuunguza maiki[emoji16]!!yaani ilikuwa balaa kwa shemeji yenu akajua nimechepuka nimelivagaa gonjwa la zinaa!ilikuwa balaa na noma kilo mbili!!!ikabidi nirudi hospital nimuonyeshe doctor !!ndo kugundua nina aleji nazo ndo maana imeunguza mpaka "maiki"[emoji16][emoji16][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
How do you do?Kwa kifupi nasema mkome wote! Mimi mara ya mwisho kutumia dawa ya kitu kinachoitwa maralia ni mwaka 1999. Tena ilikuwa chroroquin, baadaye nikaacha kabisa kuumwa maralia hadi leo, maralia is a hoax..ni ugonjwa fake.
Kipo kitu kingine kinachosababisha dalili zinazoitwa maralia, ila wajinga sisi tumefichwa, unaambiwa una maralia unatibia maralia kumbe unatengenezwa ili uwe mteja. Hahah
Siumwi na sitaumwa maralia, dawa nshaijua, sio hospitali.
Yaani kuku aumwe na mimi mwenye akili niumwe, haiwezekani. Endeleeni kuumwa ninyi kuku na ng'ombe.
Sent using Jamii Forums mobile app