Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,126
- 35,515
Nami pia nina allergy na dawa zenye Sulphur, mwaka 2005 nilitumia dawa flan za malaria sio hizi lakini hakuna rangi niliacha kuona!
Sent using Jamii Forums mobile app
Au we unaonaje mkuu miaka kumi iliopita na sasa jambo zuri kwa bwana Damson ameikubal hio hali maisha yanasonga 😀
Gonjwa la Lupus
Kinga ya mwili wako inapoanza kuushambulia mwili wako ikidhani ni kitu kinachotaka kuudhuru mwili wako. Lupus inaweza kushambulia ngozi, viungo kama joints magoti, viwiko pia ubongo, mapafu, moyo , seli za mwili na figo. Matibabu ni kutumia dawa za kupunguza mashambulizi makali ya kinga za mwili zizizokithiri nguvu kupita kiasi.
Source : Mayo Clinic
Mkuu, chanzo au kisababishi cha LUPUS ni kipi?
Usikute alikuwa anawanyanyapaa sana ma albino au usikute amerogwa maana watu wa tabora wanapenda sana ushirikina.Hafidh Damson Masokola (57) alikuwa katika na rangi yeusi kama watu wengine lakini mwaka 2010 alipougua malaria na kuanza kutumia metakeflin alibadirika na kuwa albino.
Masokola, mkazi wa Tabora anadai kuwa hakuwa anajua kuwa ana mzio na Sulphur, madini ambayo yako mengi kwenye dawa hizo alizotumia.
Madiliko yalianza taratibu kama ngozi yake kukosa ungavu. Aliporudi kwa madaktari alikosa kupata dawa ya kuweza kumrudisha katika hali yake ya mwanzo lakini walimpa ushauri wa kutumia chakula bora kama mboga za majani na matunda.
miaka 10 iliyopita inasemekana aliugua malaria na kutumia dawa aina ya Metakelfine hiyo ilipelekea mabadiliko yaliyomfanya kuwa mtu mwenye Ualbino na uchunguzi wa madaktari ulithibitisha kuwa mwili wake unawingi wa madini ya Sulphur
Masokola kwa sasa anatumia sunscreen ambayo inatumiwa na albino kwa kuwa ngozi yake humuuma sana akipigwa na jua.
View attachment 1362696
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe kama mimi, niliviacha kabisaaaaMimi nilikuwaga kila nikivimeza lazima nipate vidonda mdomon kuzunguka lips
Nikatonywa nikavipiga chini
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi vidonge si vizur kwa mtu mwenye mzio na sulphur
ndugu yangu mmoja alivimba miguu na kuota malengelenge mwili mzima
baada ya kuvimeza
binafsi nikivimeza ninawashwa mwili mzima na kuvimba
kuwen makini
Sent using Jamii Forums mobile app