Mtu mmoja awa albino baada ya kutumia Metakeflin

Gonjwa la Lupus

Kinga ya mwili wako inapoanza kuushambulia mwili wako ikidhani ni kitu kinachotaka kuudhuru mwili wako. Lupus inaweza kushambulia ngozi, viungo kama joints magoti, viwiko pia ubongo, mapafu, moyo , seli za mwili na figo. Matibabu ni kutumia dawa za kupunguza mashambulizi makali ya kinga za mwili zilizokithiri nguvu kupita kiasi.


Source : Mayo Clinic
 
Nami pia nina allergy na dawa zenye Sulphur, mwaka 2005 nilitumia dawa flan za malaria sio hizi lakini hakuna rangi niliacha kuona!


Sent using Jamii Forums mobile app

Quinine sulphate pia ni hatari kama dozi ya dawa za kumeza au kupitia drip haifuati uzito wa mgonjwa, unaweza kupata upofu wa muda au wa kudumu. Ni vizuri tabibu, mfamasia au nesi kukokotoa mahesabu, kwa mgonjwa kupimwa uzito wa mwili ufanane na dozi ya drip pia kuzingatia dozi hiyo ya dripu imiminike kwa masaa mangapi ili kupunguza uwezekano wa side effects kibao ikiwemo kuathiri uono wa macho.
 
Mkuu, chanzo au kisababishi cha LUPUS ni kipi?
 
Mkuu, chanzo au kisababishi cha LUPUS ni kipi?

Kinga kali sana za mwili kupita kiasi, jambo dogo kinga zinafanya mashambulizi ya maagamizi. Clip nyingine hii inaongezea niliyoyaelezea ktk post zangu ktk uzi huu


Source: millard ayo
 
Duocotex haina surphur mkuu itakuwa umepewa aina nyingine maan mm situmii dawa yoyote ya surphur na doctors hunipa Duocotex na inatibu fresh pia mseto uko poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikute alikuwa anawanyanyapaa sana ma albino au usikute amerogwa maana watu wa tabora wanapenda sana ushirikina.
 
hivi vidonge si vizur kwa mtu mwenye mzio na sulphur
ndugu yangu mmoja alivimba miguu na kuota malengelenge mwili mzima
baada ya kuvimeza
binafsi nikivimeza ninawashwa mwili mzima na kuvimba
kuwen makini

Sent using Jamii Forums mobile app

Mzio ndio nini??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…