Mtu mmoja awa albino baada ya kutumia Metakeflin

Pole sana mkuu na asante kwa ushauri.
 
Tatizo hili linahitaji matabibu bingwa wapatikane wengi angalau kila mkoa. Ndugu yetu huyu ameelezea kwa ufasaha tatizo la mwili kushindwa au kuacha kutengeneza seli za ngozi baada ya kubahatika kukutana na madaktari bingwa wa masuala ya mfumo wa kutengeneza seli lakini matibabu kupunguza athari hizo Tanzania ni changamoto kubwa. Anaelezea nini tofauti ya allergy na Vitiligo yaani mfumo wa mwili kushindwa kuendelea kutengeneza seli za ngozi:



Source: MwanaHALISI TV
 
Maralia...kwa dawa hizi za mzungu..
shida!
Hiyo metakelfin..alimeza mtu akababuka mwili mzima..kama kaungua na mafuta ya moto ...

Hakupona!

Tiba nzuri ni juisi ya ukwaju ukihisi tu dalili..
Au dawa zinaitwa Zandu....kabla homa haijakulaza..
Muarobaini..unachemsha majani yake
kunywa na kupiga nyungu ukiweza !



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana nawe mkuu, kuna mhindi nilikuwa naongea naye kuna muda tukafikia kujadili mambo ya misosi. Alinieleza aina ya vyakula vyao nimeanza kupractise ktk familia yangu kwa ajili ya afya njema.
 
Nakubaliana nawe mkuu, kuna mhindi nilikuwa naongea naye kuna muda tukafikia kujadili mambo ya misosi. Alinieleza aina ya vyakula vyao nimeanza kupractise ktk familia yangu kwa ajili ya afya njema.
Superb Mkuu. All the best
 
Scam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakua alikunywa Mercury huyo au maji yenye Mercury
 
Kuna ambae alitumia hiyo metakelfin akawa kipofu kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…