Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #41
''Accordance with eqnx ..../ according to eqn x...'' kama kwenye maandiko ya watu, hutumiki kwenye hiyo ''phrase'', usijihangaishe kujiita wewe ni msomi.Msomi ni mwanasheria.
Unatumia ubongo wako au uwezo wako academically. Kama hiyo ni nguvu ya ziada sijui mkuu. Kila mtu ameumbwa tofauti kiakili.Na ili uwe msomi unatakiwa utumie nguvu za ziada katika kujijenga
''Accordance with eqnx ..../ according to eqn x...'' kama kwenye maandiko ya watu, hutumiki kwenye hiyo ''phrase'', usijihangaishe kujiita wewe ni msomi.
Usomi unaendana na taalumu; kwa hiyo uwe na juhudi za ziada 'academically'Unatumia ubongo wako au uwezo wako academically. Kama hiyo ni nguvu ya ziada sijui mkuu
Nakubaliana na hoja yako, ila si wote ni wasomiNi formal education, kuanzia ngazi ya degree na kuendelea.
Daah kumbe ile learned brothers and sisters ni geresha, ngoja niingie gugo skola niongeze maarifa.''Accordance with eqnx ..../ according to eqn x...'' kama kwenye maandiko ya watu, hutumiki kwenye hiyo ''phrase'', usijihangaishe kujiita wewe ni msomi.
Leta utetezi wakoSio kweli.
Zamani kulikuwa na 'flying lecturers'; vipi, nyakati hizi wapo?Daah kumbe ile learned brothers and sisters ni geresha, ngoja niingie gugo skola niongeze maarifa.
Exactly mkuu. Usomi ni ubobezi kwenye taaluma fulani.Usomi unaendana na taalumu; kwa hiyo uwe na juhudi za ziada 'academically'
Kwa teknolojia ya sasa, sidhani kama wapo, sababu kuna njia nyingi za ku-deliver lecture tokea hata Ikulu ya Biden hadi Masasi.Zamani kulikuwa na 'flying lecturers'; vipi, nyakati hizi wapo?
Mtu aliyeelimika yukoje?Ni mtu mwenye maarifa ua mtu aliyeelimika...
Mawakili ukiondoa wa serikaliMsomi ni nani?Jibu linalokuja, ''You are incompetent you can't argue with a professor?''
Katika kusoma makala mbalimbali pamoja na kufanya tafiti binafsi, kumeonekana kuna changamoto katika kusema fulani ni msomi.
Wapo wanaoamini, katika kufikia hatua fulani ya elimu anakuwa yuko sahihi kuitwa msomi.
Wengine wanaamini msomi, ni yule anayetumia rasilimali vitu, watu, fedha na kutengeneza fursa pamoja na kutatua changamoto za jamii.
Wengine wanaamini, kuwa na utitiri wa vyeti vingi ndio njia sahihi ya wao kuitwa wasomi.
Ilibidi nichimbue zaidi vitabu na makala mbalimbali, ili kupata mitazamo tofaui tofauti kuhusu neno msomi.
Na uchambuzi wangu, umejikita kwa makundi haya katka mtazamo wa neno msomi:-
Ambao hawakwenda shule kabisa
Hili kundi wanaamini mtu msomi, ni yule aliyeajiriwa au kuongea kiingereza au mtu mwenye mali.
Ambao wanajua kusoma na kuandika
Hapa niliwatazama wale waliofanikiwa sana kuliko walioenda shule, hawa mtazamo wao wanamchukulia mtu msomi kama mtu aliyeenda shule ili kuweza kujinusuru na changamoto za maisha kwa kuajiriwa; wao wanaona wasomi kama watu wanaopindisha mambo ili waweze kujihami na ugumu wa maisha.
Ambao wana elimu ya kawaida
Hapa niliwatazama wale waliohitimu elimu ya sekondari mpaka 'degree' moja. Wao wanaamini msomi ni yule mtu anayeweza kuchambua mambo; kwa hiyo kama kati yao wanaweza kuchambua mambo, anakuwa yuko sahihi kuitwa msomi.
Ambao wana elimu ya juu
Hapa niliwatazama wenye elimu ya 'masters' na PhD; katika kundi hili wengi wao wanaamini wao ni wasomi na wako sahihi kuitwa wasomi; katika kuhoji kwa nini wanashindwa kutatua chamgamoto za kijamii ingawa wao wapo na wanajiita wasomi; wengi hutoa visingizio vingi, mara ''lack of capital, lack of skilled labour, lack of power, lack of government support n.k''
Ambao wako level ya u-professor
Hili ndio kundi la mwisho linaloamini wao ndio wasomi zaidi na hakuna mtu anayeweza kuwa-'challenge' kama hujafikia hatua yao ya kielimu.
Ni kweli ni hatua ya juu ya kielimu, lakini swali lilikuwa, ni kwa nini mpaka leo katika vyuo vyetu bado tunatumia vitabu vingi kutoka kwa wazungu iwe ni ''financial management, managemeni in general, law, operation management n.k''.
Pia, uwepo wao unawasaidiaje jamii katika kutatua changamoto zao?
Hapa nilipo sijielewi wakuu; nipeni jibu, mtu msomi ni nani?
Mtu aliyeelimika ni yule mwenye uwezo wa kujifunza, kuchambua, na kutatua matatizo na ana wigo mpana wa maarfia...Mtu aliyeelimika yukoje?
Kama uko chwan, unatumiwa tiketi na kuambiwa tunahitaji uwepo wako siku fulani katika chuo kikuu x hapa DC n.k, tunahitaji 'presentation' yako katika mada fulani.Kwa teknolojia ya sasa, sidhani kama wapo, sababu kuna njia nyingi za ku-deliver lecture tokea hata Ikulu ya Biden hadi Masasi.
Uh wewe hujui kitu.Hao sio wasomi
Tuzidi kuchimbua vitabu sana, na tupambane zaidi ili tuwe tunatumiwa kwenye ''citation''Uh wewe hujui kitu.
Sawa, katika mazingira unayoishi, kuna wasomi wangapi wenye vigezo?Mtu aliyeelimika ni yule mwenye uwezo wa kujifunza, kuchambua, na kutatua matatizo na ana wigo mpana wa maarfia...