Mtu msomi ni nani?

Kama uko chwan, unatumiwa tiketi na kuambiwa tunahitaji uwepo wako siku fulani katika chuo kikuu x hapa DC n.k, tunahitaji 'presentation' yako katika mada fulani.
Hii ya 'online' maana yake uko 'cheap' hujakizi vigezo.
Hahaha, labda kwa special case, hospital nyingine wanafanya operation live, kupitia teleconference .
 
Hahaha, labda kwa special case, hospital nyingine wanafanya operation live, kupitia teleconference .
Kuna madaktari bingwa, leo utamkuta yuko India hospitali fulani, kesho yuko Japan, mara Colombia n.k, yeye muda wote ni kuzunguka tu; haya ya 'online' haya, rejea ile 'comment'
 
Kuna madaktari bingwa, leo utamkuta yuko India hospitali fulani, kesho yuko Japan, mara Colombia n.k, yeye muda wote ni kuzunguka tu; haya ya 'online' haya, rejea ile 'comment'
Kwa maana hiyo, msomi ni package? Au siyo?
 
Katafute kazi ya kufanya, acha kujichanganya
 
Tukubaliane kuwa msomi ni nomino ya kufikirika. Huwezi sema huyu ni msomi.
''Accordance with eqnx ..../ according to eqn x...'' kama kwenye maandiko ya watu, hutumiki kwenye hiyo ''phrase'', usijihangaishe kujiita wewe ni msomi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…