Kama ana Afya njema, aende Jeshi kama ana interest
OTHERS
- Nursing Attendant
- Dispensing Certificate
- Pre primary & primary teaching certificate
- Nursery certificates
Source: The Student Welkin ( Facebook page)
Nafikiri,akienda kusoma tena secondary unaweza asipate ufaulu mzuri sana!,,pia mwenyewe ana hofu kwamba akienda five anaweza poteza muda kwa maana ya hana uhakika wa kufaulu kiwango cha juumshauri aende advance zen arisit mara nyingine tu........
Ni msichana mkuu.Asante,hii driving haitamfaaDriving VETA
hahaha.' kozi nyingi tu ana fit kwa level ya certificate..yeye anataka nn?Driving VETA
Hapana - Kwasababu wale ni wasaidizi tu, hata Darasa la 7 wanasoma. Pia kuna Community Health anaweza kusoma piaNashukuru mkuu,jeshi hapana,
Hii nursing attendant haihitaji vitu kama ufaulu mzuri kwenye bios,ama awe amesomea physics mkuu??
hahaha.' kozi nyingi tu ana fit kwa level ya certificate..yeye anataka nn?[/QUOT
Hapana - Kwasababu wale ni wasaidizi tu, hata Darasa la 7 wanasoma. Pia kuna Community Health anaweza kusoma pia
Hahaa.!haya mkuu !Akasomee cert ya mochwari
km kapata c-2 akikomaa moja ni rahisi na mtu wa hvy huwa afanyi makosa form5-6 so ww mshauri hvy hz shortcut awamu hii waeza jikuta wapata hasara tuNafikiri,akienda kusoma tena secondary unaweza asipate ufaulu mzuri sana!,,pia mwenyewe ana hofu kwamba akienda five anaweza poteza muda kwa maana ya hana uhakika wa kufaulu kiwango cha juu
Kingine,kama PC inasemekana kuwa lazima aende private!,,
Mkuu ebu ingia tovuti ya nacte kuna vyuo na kozi kibao.Habari za muda huu members jf-elimu!nikiri kuwa ni Mara yangu ya kwanza kupost humu jf-elimu.Ninaomba ushauri,mdogo wangu amemaliza kidato cha NNE kama private candidate na amepata div.four ya 26,ana C mbili,literature na kiswahili,D anazo tano na F ya mathematics(hayo ndio matokeo yake,amesoma arts)
Kutukana na kwamba alifeli mwanzoni,akarudia kama PC anawaza asiendelee na form five,hivyo kama kuna uwezekano ajiunge chuo moja kwa moja!
Wanajukwaa,je kwa hizi marks ana sifa za kujiunga 1.chuo gani?
2.course gani?
3.Lini?
Ushauri wenu ni wa muhimu sana guys!
Naombeni ushauri Tafadhali.
Asante
Mkuu,issue hapa ni lazima akasomee private!unaona hiyo moja(pesa ya kumsomesha private ni challenge)!!angalau akienda chuo MTU yuko tayari kusomesha na siyo A level wakati MTU mwenyewe upstairs wa kawaida tukaishia kupoteza pesa burekm kapata c-2 akikomaa moja ni rahisi na mtu wa hvy huwa afanyi makosa form5-6 so ww mshauri hvy hz shortcut awamu hii waeza jikuta wapata hasara tu
Nimejaribu kutafuta Google sijapata muongozo mzuri.Mkuu ebu ingia tovuti ya nacte kuna vyuo na kozi na vyuo kibao.
mkuu asante.Huyu haimfai hiyo mkuuHapana mkuu wapo mabinti wameajiriwa kama madereva usichague kazi mkuu tena mpeleke long safari asukume semi au long bus