Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Mkuu,naweza kupata wapi maelekezo ya nacte?Ushauri:
Huwezi kumchagulia mtu fani unless awe na kipaji cha ile fani husika.
Asume "Computer Information System" lakini kama hana hata interests za hiyo fani....
So ni vyema muulize angependa kuwa nani.... Katika fani atakazotaja chagua miongoni mwa hizo
Ahsante
mbona hata vyuo ni gharama tu tena zaidi ya advance......na kumbuka ht chuo wanafeli!!!!!Mkuu,issue hapa ni lazima akasomee private!unaona hiyo moja(pesa ya kumsomesha private ni challenge)!!angalau akienda chuo MTU yuko tayari kusomesha na siyo A level wakati MTU mwenyewe upstairs wa kawaida tukaishia kupoteza pesa bure
Yaani hata kwenda kusoma hiyo PC alishauriwa sana,sana mpaka akakubali,mwanzoni alipata 4 ya 33,sasa amesogea angalau mpaka points 26,anayo hofu kuwa hakuna namna atatoboa five kwa alama nzuri,ukizingatia ni arts,pia anaweza kupoteza miaka miwili
,okay,nimeingia kwenye website ya nacte,wanasema udahili umefungwa!,,Ina maanisha kuwa wanakuwaga na intake mbili mkuu??mbona hata vyuo ni gharama tu tena zaidi ya advance......na kumbuka ht chuo wanafeli!!!!!