toto la kim
Member
- Mar 4, 2017
- 46
- 23
Chochote unawez but unaanza certificate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukuu wa mkoa wa DsmHabari za muda huu members jf-elimu!nikiri kuwa ni Mara yangu ya kwanza kupost humu jf-elimu.Ninaomba ushauri,mdogo wangu amemaliza kidato cha NNE kama private candidate na amepata div.four ya 26,ana C mbili,literature na kiswahili,D anazo tano na F ya mathematics(hayo ndio matokeo yake,amesoma arts)
Kutukana na kwamba alifeli mwanzoni,akarudia kama PC anawaza asiendelee na form five,hivyo kama kuna uwezekano ajiunge chuo moja kwa moja!
Wanajukwaa,je kwa hizi marks ana sifa za kujiunga 1.chuo gani?
2.course gani?
3.Lini?
Ushauri wenu ni wa muhimu sana guys!
Naombeni ushauri Tafadhali.
Asante
Bro,ushauri wako muhimuHapana - Kwasababu wale ni wasaidizi tu, hata Darasa la 7 wanasoma. Pia kuna Community Health anaweza kusoma pia
Mfano ?dadavua kidogo,,tuanzie afya,je kwa MTU mwenye D 5 na C 2,(arts,isipokuwa ana D ya biology )maths F,ana kigezo cha kusoma course gani ya afya mkuu,?Chochote unawez but unaanza certificate
Muulize Daud
Napata wapi maelekezo na miongozo sahihi ya nacte??,nimeingia Google naona mambo meeengi!sijapata taarifa sahihi kuhusu admission !Chochote haya mambo ya division ni kwa sababu ya umasikini tu.
Mpeleke unesi vyuo vingi tu.mkuu asante.Huyu haimfai hiyo mkuu
Mpeleke unesi vyuo vingi tu.
acha ujinga mkuu nyie ndo mnafanya jamiiforum ionekane yakijinga siku hiziAkasomee cert ya mochwari
Akafanye professional courses basic level za ATEC au procurement, mimi kijana wangu kafanya hivyo, vituo vizuri viko vichache, niliona tangazo hapa jamii forum hebu litafute mimi nilifika Feb ndio walikua wanaandikisha, Tegeta Commercial education center simu yao ni 0622 390 856 nimefika na pako vizuri sana wale walimu wanaonekana wanajua wanachofanya.Habari za muda huu members jf-elimu!nikiri kuwa ni Mara yangu ya kwanza kupost humu jf-elimu.Ninaomba ushauri,mdogo wangu amemaliza kidato cha NNE kama private candidate na amepata div.four ya 26,ana C mbili,(literature na kiswahili),D anazo tano na F ya mathematics(hayo ndio matokeo yake,amesoma arts)
Kutukana na kwamba alifeli mwanzoni,akarudia kama PC anawaza asiendelee na form five,hivyo kama kuna uwezekano ajiunge chuo moja kwa moja!
Wanajukwaa,je kwa hizi marks ana sifa za kujiunga 1.chuo gani?
2.course gani?
3.Lini?
Ushauri wenu ni wa muhimu sana guys!
Naombeni ushauri Tafadhali.
Asante
acha ujinga mkuu nyie ndo mnafanya jamiiforum ionekane yakijinga siku hizi
Ni kweli unaonekana mgeni humu na ndo maana umekurupuka ukaingia na viatu na kuandika "tetesi"Habari za muda huu members jf-elimu!nikiri kuwa ni Mara yangu ya kwanza kupost humu jf-elimu.Ninaomba ushauri,mdogo wangu amemaliza kidato cha NNE kama private candidate na amepata div.four ya 26,ana C mbili,(literature na kiswahili),D anazo tano na F ya mathematics(hayo ndio matokeo yake,amesoma arts)
Kutukana na kwamba alifeli mwanzoni,akarudia kama PC anawaza asiendelee na form five,hivyo kama kuna uwezekano ajiunge chuo moja kwa moja!
Wanajukwaa,je kwa hizi marks ana sifa za kujiunga 1.chuo gani?
2.course gani?
3.Lini?
Ushauri wenu ni wa muhimu sana guys!
Naombeni ushauri Tafadhali.
Asante
ATEC ni course gani mkuu?,hii procurement ni sawaAkafanye professional courses basic level za ATEC au procurement, mimi kijana wangu kafanya hivyo, vituo vizuri viko vichache, niliona tangazo hapa jamii forum hebu litafute mimi nilifika Feb ndio walikua wanaandikisha, Tegeta Commercial education center simu yao ni 0622 390 856 nimefika na pako vizuri sana wale walimu wanaonekana wanajua wanachofanya.
Chuo unachoweza jifunza hii long safari kiko wapi hapa Dar au hata mkoaniHapana mkuu wapo mabinti wameajiriwa kama madereva usichague kazi mkuu tena mpeleke long safari asukume semi au long bus