Tetesi: Mtu mwenye Div four ya 26,unaweza kusomea nini??

It's better yeye asee kuwa Ana interest na course gani then tuone kwa hiyo perfomance yake ata fit ama vepe, maana unaweza kumwambia aende teaching while huwa ana Ndoto za kuwa lawyer.
 
Asante Mkuu,naweza kupata wapi maelekezo ya nacte?
 
Fanya Ujasiriamali tu mkuu, kwa hayo matokeo utakua unajipotezea mda wa kusoma shuleni tu na muda utakupita
 
mkuu hayo ni matokeo mzr sana,, atulize akili atapata ki2 kzr cha kusomea.
 
mbona hata vyuo ni gharama tu tena zaidi ya advance......na kumbuka ht chuo wanafeli!!!!!
 
mbona hata vyuo ni gharama tu tena zaidi ya advance......na kumbuka ht chuo wanafeli!!!!!
,okay,nimeingia kwenye website ya nacte,wanasema udahili umefungwa!,,Ina maanisha kuwa wanakuwaga na intake mbili mkuu??
Bora alipiwe chuo ghali ifahamike ameenda tuu chuo,na siyo akasome private afu afeli
 
Kutoka 33 hadi 26 alijitambua na hata akirisiti atatoboa ila kwa kuwa umesema ni Arts na kwa sasa Arts ndo hiyo inapoteza uhakika wa ajira ni bora aende VETA apige fani km Ujenzi & usomaji ramani, kupaka rangi, umeme nk. Ujuzi hauzeeki. Apige fani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…