Mtu mwenye masters na hana degree ya hiyo kozi aliyopitia post graduate diploma anatambulika kwenye ajira?

Mtu mwenye masters na hana degree ya hiyo kozi aliyopitia post graduate diploma anatambulika kwenye ajira?

Habari wadau wa JF, Hivi mtu mwenye masters lakini hana undergraduate degree ya hiyo course aliyopitia post graduate diploma anatambulika kwenye ajira sekta binafsi au serikalini?
Yaan una degree + postgraduate diploma + masters degree?
Inakubalika inategemeana na requirement ya hiyo position
 
Yaan una degree + postgraduate diploma + masters degree?
Inakubalika inategemeana na requirement ya hiyo position
Kwa mfano position ya Assistant Lecturer (Human Resources Management),
Wakati mtu ana Bachelor ya Aquaculture + Postgraduate Diploma (HRM) + Master (HRM),
Je, huyu anakubalika?
 
Kwa mfano position ya Assistant Lecturer (Human Resources Management),
Wakati mtu ana Bachelor ya Aquaculture + Postgraduate Diploma (HRM) + Master (HRM),
Je, huyu anakubalika?
Huwa wanaandika wanaandika requirement kwa maana degree ya kwanza inayotakiwa

kwa kifupi degree ya kwanza ina mata sana asa katika hizi kada za academician
Ila si vibaya ukijaribu kuomba kama GPA ya bachelor inasoma vizuri 3.8
 
Sijazungumzia kuhusu position za uhadhiri, ngoja nispecify yani post graduate diploma in IT na masters ya IT
 
Kwa mfano position ya Assistant Lecturer (Human Resources Management),
Wakati mtu ana Bachelor ya Aquaculture + Postgraduate Diploma (HRM) + Master (HRM),
Je, huyu anakubalika?
Anatambulika mkuu, cha muhimu ni qualification wanazohitaji. kama wanahitaji mtu mwenye Msc basi unaapply vizuri tu, ila kama wanahitaji mwenye Bachelor basi hapo utapata changamoto unless waseme kama ukiwa na equivalent qualification ndo unaweza kupita au wakisema ukiwa na Msc unapata added advantage.
 
Kwa mfano position ya Assistant Lecturer (Human Resources Management),
Wakati mtu ana Bachelor ya Aquaculture + Postgraduate Diploma (HRM) + Master (HRM),
Je, huyu anakubalika?
HAPANA.

Teaching position huwa zinahitaji mtu aliyesomea kozi husika tangu First degree. Hivyo ukiwa na PGD na ukaenda Masters unakuwa disqualified kwa Teaching positions.
 
Anatambulika mkuu, cha muhimu ni qualification wanazohitaji. kama wanahitaji mtu mwenye Msc basi unaapply vizuri tu, ila kama wanahitaji mwenye Bachelor basi hapo utapata changamoto unless waseme kama ukiwa na equivalent qualification ndo unaweza kupita au wakisema ukiwa na Msc unapata added advantage.
Hapana Mkuu,
Haiwezekani na ndo mana kweny matangazo yao huwa wanaandika kabisa "with bachelo of HRM and Masters...."
 
Ukishakuwa na Master's tayari wewe ni mahiri katika hiyo fani. Ndiyo maana kwa kiswahili huitwa Shahada ya Umahiri.
 
Hapana Mkuu,
Haiwezekani na ndo mana kweny matangazo yao huwa wanaandika kabisa "with bachelo of HRM and Masters...."
Matangazo mengine wanahitaji tu mwenye Msc hasa hasa kama position zake ni za Managament.
 
Matangazo mengine wanahitaji tu mwenye Msc hasa hasa kama position zake ni za Managament.
Mkuu m nimejikita kwenye swali la mhusika kuhusu Teaching positions TU.

Hizo managerial position hazinaga shida kabisa nakubaliana na ww
 
Habari wadau wa JF,

Hivi mtu mwenye masters lakini hana undergraduate degree ya hiyo course aliyopitia post graduate diploma anatambulika kwenye ajira sekta binafsi au serikalini?
Ndiyo, mtu mwenye Master's Degree hata kama hakuwa na degree ya kozi hiyo aliyosoma, bali alisoma Postgraduate Diploma (PGD) kabla ya kuingia kwenye Master's, anaweza kutambulika katika ajira kulingana na sera za ajira na vigezo vya mwajiri.

Uhalali wa Postgraduate Diploma na Master's
- Ikiwa Postgraduate Diploma aliyopitia inatambulika rasmi na mamlaka ya elimu au taasisi inayohusika, na ikiwa Master's Degree aliyoipata inatambuliwa, basi kwa kawaida mwajiri hana tatizo kutambua sifa hizo.

- PGD kwa kawaida hutumika kama daraja linalomwezesha mtu aliyesomea taaluma tofauti kwenye shahada ya kwanza (degree) kupata maarifa ya msingi kabla ya kusoma Master's kwenye uwanja mpya.

Kigezo cha Mwajiri
- Mwajiri mara nyingi huangalia shahada ya juu zaidi (Master's) kuliko shahada ya chini (degree), hasa kama Master's Degree inahusiana na nafasi ya kazi anayoomba.

- Katika baadhi ya ajira, hasa zile zinazohitaji utaalamu maalum, mwajiri anaweza kuulizia msingi wa shahada ya kwanza. Kama Master's Degree ni ya uwanja tofauti na kazi anayoomba, mwajiri anaweza kuuliza sababu za mabadiliko hayo ya taaluma.

Soko la Ajira
- Katika sekta nyingi, kuwa na Master's Degree huonekana kama sifa ya kutosha, bila kujali ulivyopata sifa za kufikia kiwango hicho.

- Katika sekta fulani (mfano, taaluma za sheria, udaktari, au uhandisi), unaweza kuhitajika kuwa na msingi wa degree fulani kwa sababu za kitaaluma au kisheria.

Mifano ya Uhalisia
- Mfano wa Kukubalika: Mtu aliyesoma Bachelor of Arts in Education akasoma PGD in Business Management, kisha akasoma Master's in Business Administration (MBA), anastahili kutambuliwa kwa kazi za biashara kwa kuwa amepata maarifa ya kitaaluma yanayohitajika.

- Mfano wa Kukataliwa: Ikiwa kazi inahusisha leseni maalum au ujuzi unaohitaji shahada ya msingi maalum (kama udaktari), mwombaji anaweza kukataliwa kwa sababu shahada yake ya kwanza hailingani na mahitaji hayo.

Ova
 
Back
Top Bottom