Mkuu mfano mtu mwenye advance diploma akapiga PGD je anaweza kwenda masters bila kupita degree?Anatambulika mkuu, cha muhimu ni qualification wanazohitaji. kama wanahitaji mtu mwenye Msc basi unaapply vizuri tu, ila kama wanahitaji mwenye Bachelor basi hapo utapata changamoto unless waseme kama ukiwa na equivalent qualification ndo unaweza kupita au wakisema ukiwa na Msc unapata added advantage.
Swali zuriMkuu mfano mtu mwenye advance diploma akapiga PGD je anaweza kwenda masters bila kupita degree?
NdiyoMkuu mfano mtu mwenye advance diploma akapiga PGD je anaweza kwenda masters bila kupita degree?
Kwani Advanced Diploma si equivalent na Degree mkuu?Mkuu mfano mtu mwenye advance diploma akapiga PGD je anaweza kwenda masters bila kupita degree?
Taaluma ya mtu inatengenezwa na digrii ya kwanza. Mfano kama umesoma Hisabati digrii ya kwanza, halafu ukaja kusoma Uongozi digrii ya pili, wewe si mtaalamu au bingwa wa Uongozi. Ila labda baada ya Hisabati ukaenda kusoma Takwimu, wewe unakuwa Bingwa wa Takwimu kwa sababu Takwimu ni tawi la Hisabati. Kuwa bingwa au mbobezi wa kitu unapaswa ufanye kwa kufuata matawi ya ulichosoma digrii yako ya kwanza. (Kumbuka unaweza soma digrii ya kwanza zaidi ya moja na baadaye ukawa bingwa maeneo tofauti kwa kusoma digrii za matawi yake).Habari wadau wa JF,
Hivi mtu mwenye masters lakini hana undergraduate degree ya hiyo course aliyopitia post graduate diploma anatambulika kwenye ajira sekta binafsi au serikalini?
Assistant LecturerNadhani haiwezekani.
Mtu hapewi ajira kwa kigezo cha masters ila unapewa uongozi kwa kigezo cha masters.
Kiwango cha mwisho cha ajira n degree, hvy wanaanza kwa kuangalia degree kwanza then Ndo inafuata masters.
So kama masters wanaitakaa, Ila degree hawajaiweka kwenye list, huwezi kupewa ajira.
Assistant lecturer lazima undergraduate degree and Masters degree ziendane tena wako very strictly hawapepesi macho kwenye hilo.Kwa mfano position ya Assistant Lecturer (Human Resources Management),
Wakati mtu ana Bachelor ya Aquaculture + Postgraduate Diploma (HRM) + Master (HRM),
Je, huyu anakubalika?