π π π π Lakini wapo waliowahi Kumbuka ee?View attachment 3623225
Wapo wengi humu
wapo wenye jinsia mbili
Wapo wenye sura mbili
Wapo wenye ID mbili
wapo wenye personality mbili
mimi ni NOMA nitabaki kuwa NOMA hakuna kama mimi, kijana mmoja shupavu na jasiri πΈ sijawahi kunywa bia leo nahamu nayo madameKama wewe tu π
Mambo ya sura mbili haya, ya pombe na ya maji ya uhaiHadi wewe unanifanyia hivo π
Haya tupate wazamini kidogoHujakosea kabisa
View attachment 3623226
Aiseeh, ndiyo kuniita gani huko?Kumbe upo?
Nilitaka tu uje hapa.
wengi sana mwishowe wakazikimbia ID zao na jinsia zao, wakatubu na tupo nao jukwaaniπ π π π Lakini wapo waliowahi Kumbuka ee?
Tulia ma mtuπ π
View attachment 3623234
Parachichi kubwa kuliko mwili wa mshikaji π
Unaweza kuwa na jinsia mbili jamani π .wengi sana mwishowe wakazikimbia ID zao na jinsia zao, wakatubu na tupo nao jukwaani
View attachment 3623235
Umeona huo mtungi wa gas, unaambiwa ukijaa full unachemshia chai tuu ushaisha πParachichi hapo limehusikaje π