Mtu mwenye Sura mbili ni yupi?

Ni yule mwenye unafiki wakujificha,anajionyesha rafiki kwako,huku anawaza jinsi ya kukuangamiza
 
Je Umewahi kukutana na mtu wa aina hii wapi? Nyumbani, kazini au kwenye biashara?
Yaan mimi niende kuyanunua Makebo makubwa niwe nayagonga halafu nipite najitangaza au najichukua picha na video kuonyesha ufahari jinsi gani nayagonga?

Siwezi kufanya hivyo hio sura ya pili ni yangu in my privacy sio ya kumuonyesha kila mtu faragha yangu,

Najua hapo umezungumzia vitu viwili kwa upana ila kwa lengo la kulenga mtu ambae anakujengea ubaya pasipo wewe kujua hii inatokea na inatutokea kila siku wale tunaowaamini wengi wao ndio wanaotusaliti na hii ipo kila mahala sio kwenye biashara, ajira, kazi, nk

ipo kila angle yule unae mwamini sana na kumwambia ukweli wako halisi ndio anguko lako lilipo inafika hatua anakwambia kwamba wewe hauna siri yaan hauna cha kumficha, mtu huyo akifikia kwenye hatua hio maana yake ana moles wengi wanaokuzunguka

Tuwe na mipaka kua na sura ya pili sio dhambi ila isiwe kwa ajili ya kuwaumiza wengine bila sababu zozote, mimi nagonga wenye Makebo makubwa kwa sababu nawapenda wanawake wenye Makebo makubwa
 
Ila neno makebo jamani 😅😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…