Mtu mwenye tabia gani huwezi kuwa nae kwenye mahusiano kamwe?

Mtu mwenye tabia gani huwezi kuwa nae kwenye mahusiano kamwe?

Anaejihisi kuwa na mimi basi kabadilika kuwa mzazi wangu, atake kutawala maisha yangu. A dictate nani awe rafiki yangu, wapi niende wapi nisiende.

Kuna normal concerns za 'baby uko wapi' lakini kuna ile umeenda wapi, upo na nani, ma video call kede kede. Hiyo inakuwa bughudha na very suffocating.
 
anaedhani nipo nae kwenye mahusiano ili nidili na hizo tabia zake mbovu!,mi sipo ili nije nikurekebishe tabia zako tutafika lini sasa!,kiumbe kisichonipa amani ya akili na mwili(afya),kikafie mbali!.
Nahitaji kiumbe kinachojielewa nini kifanye na nini kisifanye wakati upi na usio wakati upi.
 
Back
Top Bottom