Mtu mwenye tabia gani huwezi kuwa nae kwenye mahusiano kamwe?

mchoyo wa mbususu, huyo hapana kwa kweli
Juzi tu nimetoka kumpiga chini mchepuko mmoja kwa sababu hii. Imagine tangu mwezi wa 3 mpaka leo hajanipa mbususu! Wakati huo huo kila siku anakuja na invoice mara nataka hiki, mara kile.. nikamuambia apite hivi..
 
Mpare, ila ndio nishazama kwa huyo Mpare [emoji81][emoji81][emoji81]
Uduguuu komaaaaa!!! Waparee ndo watu bhanaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawapendaa mie
 
Juzi tu nimetoka kumpiga chini mchepuko mmoja kwa sababu hii. Imagine tangu mwezi wa 3 mpaka leo hajanipa mbususu! Wakati huo huo kila siku anakuja na invoice mara nataka hiki, mara kile.. nikamuambia apite hivi..
umefanya vizuri mwanawane. invoice imambatane na bupa
 
Back
Top Bottom