Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lazima kuna mujamaa anapewa tuu hamnaga mbususus yako peke yako bwanaNataka kumuacha mkuu, nanyimwa haki yangu, sijui hata nani anapewa.
Hakika huyu hafai hata robo🙌Mfukunyuku wa kufatilia mambo ya watu kama wewe
MwiziMtu mwenye tabia gani huwezi kuwa nae kwenye mahusiano kamwe?
💯anaedhani nipo nae kwenye mahusiano ili nidili na hizo tabia zake mbovu!,mi sipo ili nije nikurekebishe tabia zako tutafika lini sasa!,kiumbe kisichonipa amani ya akili na mwili(afya),kikafie mbali!.
Nahitaji kiumbe kinachojielewa nini kifanye na nini kisifanye wakati upi na usio wakati upi.
mpe uno wewe kwa nini mpaka alalamike inamaanisha unambaniaSi ndio nashangaa🙆
Nakaziamchoyo wa mbususu, huyo hapana kwa kweli
Vipi akiwa anakupa yote ila ni OMBA OMBA wa kutupwa??Nakazia
Mbona yule bonge ulimkataaI dont have a type, If we vibe, we vibe.
Mbona we ni kibonge na ninakupendaMbona yule bonge ulimkataa
😀😀😀mchoyo wa mbususu, huyo hapana kwa kweli
Mjuaji sana ,yaani sipendi hao mbwa uko na mtu halafu anajifanya kila kitu anajua anajifanya ana akili kuliko wewe yaani tunapishana kwa mbali sana hata salamu hakunaMtu mwenye tabia gani huwezi kuwa nae kwenye mahusiano kamwe?