Mtu mwenye tabia gani huwezi kuwa nae kwenye mahusiano kamwe?

Not neccessarily anaeongea kiswahili but mtu mwenye characters za mswahili.
1.Mnafiki
2.Muongo
3.Mlalamishi
4.Asiye na ratiba
5.Mtu wa tamaa

.....Just to mention a few!!!
Sasa mtu haruhusiwi tu kuamka jumamosi na akawa hana ratiba 🀣
 
mchoyo wa mbususu, huyo hapana kwa kweli
Juzi tu nimetoka kumpiga chini mchepuko mmoja kwa sababu hii. Imagine tangu mwezi wa 3 mpaka leo hajanipa mbususu! Wakati huo huo kila siku anakuja na invoice mara nataka hiki, mara kile.. nikamuambia apite hivi..
 
Mpare, ila ndio nishazama kwa huyo Mpare 😹😹😹
 
Mlokole, huwa hata simuangalii mara mbili.
 
Mpare, ila ndio nishazama kwa huyo Mpare [emoji81][emoji81][emoji81]
Uduguuu komaaaaa!!! Waparee ndo watu bhanaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawapendaa mie
 
Juzi tu nimetoka kumpiga chini mchepuko mmoja kwa sababu hii. Imagine tangu mwezi wa 3 mpaka leo hajanipa mbususu! Wakati huo huo kila siku anakuja na invoice mara nataka hiki, mara kile.. nikamuambia apite hivi..
umefanya vizuri mwanawane. invoice imambatane na bupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…