James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
1. Napenda kujituma, yan nikiwa home wikiendi nikikuta mazingira ovyo, nayapangilia vizuri tu
2. Naweza kufanya usafi au kazi kuanzia asubuhi hadi jioni bila kuchoka wakati wenzangu kitu kidogo tu washachoka
3. Napenda kufua, kukunja nguo zangu
4. Kuosha vyombo pia, hata iwe ni saa 8 usiku mim nafanya tu
5. Sipend uchaf nikiona uchafu nauondoa, naweza nikafanya hivyo kwa kujitakia tu lakin wanaonizunguka hawajali wao hiki kikiwa vile vile vikiwa hiv hawajali
6. Siangalii tv wala nin mimi na laptop, laptop na mimi
7. Nikitumwa hata sokon hata kununua kun naenda tu sijui nimerogwa
8. Sina demu wa mchumba, nipo tu nikipna jamaa anauliza vip una dem aise urafik wetu unaishia hapo
9. Sina marafiki wengi, nilionao hawazidi 6
10. Wikiend natulia ndan nachat na kulala tu mpaka wanajiuliza huyu jamaa vip?
11. Nikikuta unasimulia habari zangu kwa watu, siongei wala kukaa na wewe tena
12.
Sijui haya yanasababishwa na nini?