Mtu mwenye tabia hizi, ana tatizo gani?

Asee hiyo sometimes inaendanaga na mood disorders. Kwann hupend madem!? Limited social links pia na defensive behaviors Kam hizo! Lakini bado maelezo hayatoshi! Kwann hupendi madem Wal stori zao!?
duuh kuelezea ngum
Mfano Mimi hapa kufikiria madem ni asilimia chache sana akili imakuwa inaconcetrate na vitu vingine kabsa vinavyonihusu mimi binafsi.
 
Utakuwa unatafuta mke hapa...
 
Kuna msela bongo yani yuko hivyohivyo ulivyojielezea. Nimemuachia ghetto langu la nguvu kunilindia. Ni msafi, hatoki toki nje hana time na madem. Ila anapenda kuangalia TV sana. Mazingira ya ghetto kayaweka safi.

Hana marafiki na kila baada ya wiki mbili namtumia laki mbili. Na ghetto langu lina cctv naona current affairs mubashara.

Ni ngumu bongo kupata mtu muaminifu kama huyu.

Nimebshatika
 

Mimi nipo mzee
 

[emoji22]weee ni mganga/ mpiga ramli umejuaje yote haya?
Nani kakwambia hizi habari zangu?
 
kijana utakua na shida ww sio bure
demu huna
una chat na nan sasa
kujifungia ndani mtoto wa kiume uta anza kujichukulia sheria mkononi kwa kujipiga selfie ama ndo mkombozi wako
 
Kama una furaha na maisha yako ni sawaa ila hali ya kuanza kujitilia mashaka kwa kuuona utofauti wako ni tatizo kuna mawili

1. Una matatizo halisi Kabsaa kama tu kuna matukio au vitu negative katika background yako, vilivyokuathiri kiasi kwamba lifestyle yako inakufanya ujihisi safe and perfect maana kuna inner insecurities ambazo unapambana nazo. Most likely huna hata furaha na ni tatizo

2. Ndio ulivyo na ni uasilia wako yaani ulivyo ndivyo unavyotakiwa kuwa. Tatizo negative comments za watu hususani wakitaka kukubadilisha wakiamini ulivyo tayari ni upungufu. Hali inayopelekea kutengeneza insecurities kama wewe si mzima au hufit ile jamii yako inavyotamani uwe. Cha msingi weka tu mipaka yako lakini jitahidi ufanye unachoweza ili jamii au watu unaowajali wasione umejitenga sanaaa maana wote ni binadamu TUNAHITAJIANA
 
Nipo 100% Kama wewe
 
Daaa hii nchi ishakuwa ya kipumbavu sana maana si kwa kumtukuza hivi Shetwani.

Inawezekana vipi kila Mtu akija humu kuelezea utofauti wake wa mtindo wa maisha basi anawaza kurogwa tu(uchawi)?

Kwanini asiwaze kubarikiwa(neema/baraka)?
 
Una discipline, una roho nzuri (hupendi kuudhi watu), una imani, na mwisho kabisa kwa dini yyt ulio nayo inawezekana sana wewe ni Mcha Mungu. Keep it up you are one in millions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…