Mtu mwenye tabia hizi, ana tatizo gani?

Pambana
 
Una nyota ya kufanya kazi za ndani uarabuni tafuta conection

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoto wa mama wewe na mama alijitunza sana kama wewe, tulia kuna demu atakupasua
 
Nikiwa sina hela nakua kama wewe mtoa mada, yani hivyohivyo!!
 
Huwa unachati na nani? Isije ikawa upo kwenye mahusiano yasiyofaa
 
Mdogo wangu hii ndo lifestyle nzuri maana unaepuka mengi,unaepuka majanga ya watu unaepuka migogoro ya watu unaepuka mengi sana mimi zamani nilikua hivi ukiondoa suala la mademu mimi nilikua nawakula balaa ila nilipenda kuishi maisha yangu
 
Mdogo wangu hii ndo lifestyle nzuri maana unaepuka mengi,unaepuka majanga ya watu unaepuka migogoro ya watu unaepuka mengi sana mimi zamani nilikua hivi ukiondoa suala la mademu mimi nilikua nawakula balaa ila nilipenda kuishi maisha yangu

Safi
 
8. Sina demu wa mchumba, nipo tu nikipna jamaa anauliza vip una dem aise urafik wetu unaishia hapo

11. Nikikuta unasimulia habari zangu kwa watu, siongei wala kukaa na wewe tena
namba 8 na 11 ugomvi wa wengi huu. Ila hamna nomna ni upekee wa kila mtu
 
Asee hiyo sometimes inaendanaga na mood disorders. Kwann hupend madem!? Limited social links pia na defensive behaviors Kam hizo! Lakini bado maelezo hayatoshi! Kwann hupendi madem Wal stori zao!?
Huenda ana hofu ya Mungu au watu waliomzunguka wengi walifelishwa na umalaya kwaio anaona asishoboke nao maana watamfelisha pia, kuna type ya mwanamke anatafuta, ambae ana mstimulate mentally
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…