Mtu mwenye tabia hizi, ana tatizo gani?

Uko vizuri Sana kijana, hayo ndiyo maisha uliyoyachagua wewe mwenyewe, wala hauna tatizo lolote. Ila kwenye kununa nuna ovyo eti kisa umekuta watu wanakusema wewe ndo huongei naye tena, ACHA, hayo mambo tuachie sie wanawake.
 
Asee hiyo sometimes inaendanaga na mood disorders. Kwann hupend madem!? Limited social links pia na defensive behaviors Kam hizo! Lakini bado maelezo hayatoshi! Kwann hupendi madem Wal stori zao!?
Member wa chaputa
 
Uko vizuri Sana kijana, hayo ndiyo maisha uliyoyachagua wewe mwenyewe, wala hauna tatizo lolote. Ila kwenye kununa nuna ovyo eti kisa umekuta watu wanakusema wewe ndo huongei naye tena, ACHA, hayo mambo tuachie sie wanawake.

Siwezi nikakasirika, ila nitakuwa nakukwepa. Inshortly hutakaa uje kuniona tena mpaka utanisahau
 
Wasikupambe wala ni mara ooh umepevuka mapema sijui nini hakuna kitu hapo, angalia dogo utakuja kuwa shoga hebu jichanganye na wana kitaa ili ujifunze maisha. Kisa una laptop basi unajiona mzungu fulani eenhe?
Mkuu ina maana ukiwa introvert na usipojichanganya unageuka kuwa hiyo laana uliyoitaja hapo?
Si ndio?

Ushawahi kumuona mtu aliyejichoma kwa mafuta yake mwenyewe?

psychology inasema ukiona mtu anaongelea sana kuhusu kitu fulani mara zote basi jua yuko obsessed nalo.
Means mara nyingi mtu huyo anatumia muda mwingi kufikiria au kufanya jambo hilo na ndio maana mara zote utakuta analitoa popote.

Kwenye psychology kuna kitu kinaitwa defense mechanism ni hali ya mtu kutoa mambo yake ya siri au yanayomkwaza unconsciously (bila kujua) na kuyapaka au kuyatupia kwa wengine ili kucover yale aliyoyaficha au tuseme anajishtukia.
So ili asishtukiwe anakuwa anapakazia wengine yale negative na machafu ya kwake ili yeye aonekane msafi au ajihisi msafi.

Na hicho ndicho kinachokutokea wewe mkuu, sio wewe tu bali na wote waliocomment negative.

Kuna uzi unaitwa "hawa introverts wa bongo kwanini wasitusaidie katika innovation"


Huyu ni wewe kwenye huo uzi na ulichocomment.


Kwenye comment yako katika picha namba mbili unajiidentify kama introvert.
Sasa kumbe na wewe unajiita introvert ina maana kwa hiyo wewe ndio hiyo laana uliyoitaja hapo juu wewe mwenyewe.
Na hii sio kwa mujibu wa yoyote bali ni kwa mujibu wako wewe mwenyewe.

Na ukiunganisha dots hapo perfectly kama forensicist utanona kabisa ninachokisema hapa ni kweli.
Na ni ajabu na nimeshangaa sana kuona kwanini kila mtu anayekuja kucomment anacomment kuhusu upumbavu ule'ule yaani ni full kuharibiana siku kwa kusoma comments chafu.
Yaani karibu wote wameathirika na huo uchafu everywhere kila mtu anacomment hicho'hicho hii ni ishara dunia inazidi kuharibika na inaelekea mwisho.

Mkuu inaonekana una matatizo ya akili sababu inaonesha uko so negative kwenye kila kitu na bila shaka your life is a mess so ili kupata ahueni na kujifariji unaanza kupakazia kila mtu negatives zako.
Nenda kamuone daktari mkuu bila shaka hauko sawa wewe na wenzako wote.

Mpaka hapa ulishawahi kumuona mtu aliyejichoma kwa mafuta yake mwenyewe?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mpe vidonge vyake
 
Wife material kabisa
 
Wife material kabisa
 
Wife material kabisa
 
Mkuu yaan wewe ni balaa vyote hivyo ndio mawazo yangu japo hilo la 5 hua na mashaka kidogo na 6 hua siangalii tv haijawahi nivutia toka nabalee
 

Kapime hormonies
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…