Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Hakuna msamaha this timeNanukuu kwa msisitizo:
"UKIDAKWA KWENYE MAANDAMANO YASIYO NA KIBALI KUWA TAYARI KUKAA NDANI/JELA MPAKA 2030"
Sio kila shimo lina size moja chiefTangu lini mtu katosha kwenye shimo la nyoka?
Ni shimo la nyoka gani unalizungumzia.Sio kila shimo lina size moja chief
Gharama kubwa sana imetumika kuzuia maandamano.My people,
Natambua tumeumizwa sana kwa kupotelewa na vipenzi vyetu,tumepoteza mali zetu na mitaji yetu,tumetezwa utu wetu na heshima yetu
Lakini kutumia njia ambayo hapo awali ilifeli na kutaka kuitumia katika namna ile ile tusitarajie matokeo tofauti,tena kibaya zaidi watesi wetu wanajua wapitie wapi na kutokea wapi
Damu ya kutosha ilisha mwagika hatuhitaji nyingine imwagike,tusikurupuke kwa mihemko ambayo haina tija Linda uhai wako na kiwiliwili chako
This time ukibahatika kuwa hai ni vizuri ila ukidakwa kuwa tayar kukaa ndani mpaka term ya mama iishe 2030
Ndio maana nasisitiza ndugu zangu Linda uhai wako na kiwiliwili chako
Andamana for ur own risk, kikubwa tusiwaone mnakuja kulialia hapa jukwaani
Ni hayo tu!
2030 gombea Urais, itakuwa fursa kwa nchi yetu kupata Rais mwenye akili toka tupate Uhuru na tutaitumia fursa hiyo vizuri.🙏Gharama kubwa sana imetumika kuzuia maandamano.
Kurusha Helkopita nyingi nchi nzima
Posho kwa maaskari.
Taswira ya nchi na reputation ya JWTZ imekufa.
Uchumi unasimama, kila.siku watu wanakaa ndani.
Ukianfakia haya yote yangewe,a kuepukika vizuri tu, kama tusingekuwa na Rais asiye na akili
Chief kwani wakati wanapanga kuandamana hawakulitarajia hili?Hoja yako ingekuwa na mashiko kama leo kungekuwa hakuna ulinzi mkali halafu wananchi bado wagome kutoka kuandamana!
Naunga mkono hojaMy people,
Natambua tumeumizwa sana kwa kupotelewa na vipenzi vyetu,tumepoteza mali zetu na mitaji yetu,tumetezwa utu wetu na heshima yetu
Lakini kutumia njia ambayo hapo awali ilifeli na kutaka kuitumia katika namna ile ile tusitarajie matokeo tofauti,tena kibaya zaidi watesi wetu wanajua wapitie wapi na kutokea wapi
Damu ya kutosha ilisha mwagika hatuhitaji nyingine imwagike,tusikurupuke kwa mihemko ambayo haina tija Linda uhai wako na kiwiliwili chako
This time ukibahatika kuwa hai ni vizuri ila ukidakwa kuwa tayar kukaa ndani mpaka term ya mama iishe 2030
Ndio maana nasisitiza ndugu zangu Linda uhai wako na kiwiliwili chako
Andamana for ur own risk, kikubwa tusiwaone mnakuja kulialia hapa jukwaani
Ni hayo tu!
Itakuwa haina maana ya kuwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama, na jukumu lao kikatiba na kisheria ni kuhakikisha nchi na watu wake wanaishi kwa amani na utulivu ili waweze kufanya shughuli zao za maendeleo.Hoja yako ingekuwa na mashiko kama leo kungekuwa hakuna ulinzi mkali halafu wananchi bado wagome kutoka kuandamana!
Asante sana niferMy people,
Natambua tumeumizwa sana kwa kupotelewa na vipenzi vyetu,tumepoteza mali zetu na mitaji yetu,tumetezwa utu wetu na heshima yetu
Lakini kutumia njia ambayo hapo awali ilifeli na kutaka kuitumia katika namna ile ile tusitarajie matokeo tofauti,tena kibaya zaidi watesi wetu wanajua wapitie wapi na kutokea wapi
Damu ya kutosha ilisha mwagika hatuhitaji nyingine imwagike,tusikurupuke kwa mihemko ambayo haina tija Linda uhai wako na kiwiliwili chako
This time ukibahatika kuwa hai ni vizuri ila ukidakwa kuwa tayar kukaa ndani mpaka term ya mama iishe 2030
Ndio maana nasisitiza ndugu zangu Linda uhai wako na kiwiliwili chako
Andamana for ur own risk, kikubwa tusiwaone mnakuja kulialia hapa jukwaani
Ni hayo tu!
Kuna gharama za kulipa kwa kila utakacho. Nothing comes on a silver plate.Hakuna msamaha this time
Kinachotakiwa kufanyika kwanza ni mabadiliko ya katiba,ili mambo mengi ambayo ni kero kwa Watanzania yapate kutafutiwa ufumbuzi ikiwemo kuwa na Tume huru ya UchaguziNini kifanyike kukomesha wizi wa kura, utekaji, mauaji?
Kuwa na vyama vya siasa vya upinzani makini vyenye nia ya kuleta maendeleo ya kweli kwa watanzania na kuleta siasa safi na kuachana na mambo ya kikanda, kikabila na kidini.Nini kifanyike kukomesha wizi wa kura, utekaji, mauaji?