Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Mleta mada naona una upagani ndani yako, sasa sisi sio asili ya Adam na hawa... ni asili ya nani?! Juma na Uledi au?!🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kisa kimoja cha ajabu sana lakini hakijathibitishwa bado kama ni kweli au si kweli... eti kwenye Safina ya nuhu baada ya viumbe kukaidi agizo la mungu kwamba msinyanduane wao wakakaidi wakanyanduana, ndo wakalaaniwa wakawa wanazaa watoto weusi... eti ndo sisi na do mana kila tufanyalo linakwenda mrama.Adamu na Hawa kwa mujibu wa tafiti mbalimbali hawakuwa wazungu bali watu wa mashariki ya Kati ambao ni weupe mfano waarabu, wajameni , wayaudi n.k turudi kwenye swali Mtu mweusi ni uzao wa Nani ?
[emoji1787][emoji1787] laana ya ngono [emoji1787][emoji1787]Kuna kisa kimoja cha ajabu sana lakini hakijathibitishwa bado kama ni kweli au si kweli... eti kwenye Safina ya nuhu baada ya viumbe kukaidi agizo la mungu kwamba msinyanduane wao wakakaidi wakanyanduana, ndo wakalaaniwa wakawa wanazaa watoto weusi... eti ndo sisi na do mana kila tufanyalo linakwenda mrama. Eti tuna laana ya enzi na enzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee hivi una akili timamu kweli? Unajua Suleiman aiishi miaka mingapi iliyopita? Au tuseme Hiyo familia walikuwa wanaishi miaka 800 kila mmoja?Bila shaka huo ni mtazamo wako ila hakuna ukweli wowote.
Nadhani unafaham ama ushawahi kumskia malikia wa Sheba kutoka Ethiopia,
Malkia wa Sheba alizaa na Mfalme Suleman, mtoto aliitwa Meneliki wa Kwanza naye akamza Menelik II, Menelik II akamzaa Haile Sellasie
Swali je hao wote walikuwa watu weupe na ikumbukwe Suleman ni uzao wa Daudi generation ya Baba wa Iman Ibrahim.
Ungesema habar za Evolution kibiologia angalau ungekuwa unaelekea kweny fact japo hakuna empirical evidence.
Ukiangalia katika mtazamo wa uumbaji hii haita make sense. Lakini ukiangalia kwa mtazamo wa evolution, it makes perfect sense. Binadamu wa kwanza walitokea Afrika na kisha kisambaa mabara mengine.Awali ya yote ningependa kuwasalimu wanajamii wenzangu habari zenu, natumai ni wazima wa afya.
Nina maswali kadhaa ambayo ningependa kupata majawabu kutoka kwenu wana Jamiiforums yatakayo kuwa msaada na faida kwa jamii nzima na kubadili taswira na mtazamo wa jamii nzima juu ya asili ya mtu mweusi [ mwafrika ] na uwepo wake hapa duniani.
Maswali:
1. Je mtu mweusi[ Mwaafrika ] ni uzao wa Adamu na Hawa ?
2. Je Adamu na Hawa walikuwapo pekee duniani ? na Afrika kulikuwa hakuna watu?
3. Je uzao wa mtu mweusi ni kutoka ndani ya Afrika au nje ya Afrika ? Na Kama ni kutoka nje ni kutoka kwa nani watu wa bara la Ulaya [wazungu], watu wa Mashariki ya Kati, watu wa Asia ya mbali au watu wa bara la Amerika?
4. Je inawezekana mtu mweupe kwa mweupe [ mfano mzungu kwa mzungu ] kuzaa mtu mweusi?
N.b: Matusi na lugha za kuudhi hazitakiwi , pia unaweza kuongeza maswali yako kama kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo.
Ukiangalia katika mtazamo wa uumbaji hii haita make sense. Lakini ukiangalia kwa mtazamo wa evolution, it makes perfect sense. Binadamu wa kwanza walitokea Afrika na kisha kisambaa mabara mengine. Binadamu wa kwanza walikua weusi kwa sababu ya hali ya jua kali kwahio mtu mwenye ngozi nyeusi ndio aliweza kustahimili hali hio, wenye ngozi nyeupe walikufa hivo hawakuzaliana. Sasa Binadamu walipoanza kusafiri nchi zenye jua kidogo weusi wakawa hawawezi tena kuishi vizuri kwasabab ngozi nyeusi haiwezi kutengeneza vitamin D kwenye mazingira yasio na jua kali kwahio weupe ndio walifanikiwa kuishi na kuzaliana. Survival for the fittest, you know?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngozi nyeusi unakinga jua, ivo sehemu isio na jua kali ngozi nyeusi haiwezi kufyonza mwanga wa kutosha kutengeneza vitamin D. Ngozi nyeupe inathiriwa na jua kali. Nywele za za kujisokota (kama za mtu mweusi) ni hypothesis kwamba ziko hivo kwaajili ya kukinga macho zidi ya jua kali.1Weusi walikua wakiishi kwa muda gani mpaka ngozi yao ishindwe kutengeneza vitamin D.
2Fafanua vizuri, Kati ya mweusi na mweupe Nani wa kwanza kuishi duniani.
3 Vitamin D ndio iliyo sababisha mpaka nywele ziwe tofauti nazakwetu?
Mbona sijaona wazungu wenye pua za kibantu.
Jinsi utakavo jibu maswali yataendelea.
Ngozi nyeusi unakinga jua, ivo sehemu isio na jua kali ngozi nyeusi haiwezi kufyonza mwanga wa kutosha kutengeneza vitamin D. Ngozi nyeupe inathiriwa na jua kali. Nywele za za kujisokota (kama za mtu mweusi) ni hypothesis kwamba ziko hivo kwaajili ya kukinga macho zidi ya jua kali. Wapo wazungu wenye pua za kibantu, wapo pia wenye nywele za afro, na ni wazungu. Sababu ya wazungu kua na pua ya vile ni kwasababu mazingira yao wana baridi sana. Kwahio wanahitaji pua kubwa ili anapovuta hewa iwe heated-up
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mweupe mwenye pua flat na mzungu .wenye afroNipe picha ya mzungu mwenye pua ya kibantu.
Picha ya mzungu nywele afro.
Niambie muda unao takiwa kwa mtu mweusi kubadalika na kua mzungu.
Kwa maana watumwa walienda Sana
Uko.
Nina kaka zangu watatu uko niambie Ni muda gani watatakiwa kubadilika nakuwa wa zungu.
Kati ya mweusi na mweupe Nani aliekuwa wa Kwanza kuishi duniani?
Kumbuka miaka ya mtu kwa wastani ya kuishi Ni haipiti miambili.
Mzungu mwenye afro...Nipe picha ya mzungu mwenye pua ya kibantu.
Picha ya mzungu nywele afro.
Niambie muda unao takiwa kwa mtu mweusi kubadalika na kua mzungu.
Kwa maana watumwa walienda Sana
Uko.
Nina kaka zangu watatu uko niambie Ni muda gani watatakiwa kubadilika nakuwa wa zungu.
Kati ya mweusi na mweupe Nani aliekuwa wa Kwanza kuishi duniani?
Kumbuka miaka ya mtu kwa wastani ya kuishi Ni haipiti miambili.
Mtu wa kwanza, kulingana na fossil records alikua ni mweusi kwasababu binadamu wakievolve afrika.Nipe picha ya mzungu mwenye pua ya kibantu.
Picha ya mzungu nywele afro.
Niambie muda unao takiwa kwa mtu mweusi kubadalika na kua mzungu.
Kwa maana watumwa walienda Sana
Uko.
Nina kaka zangu watatu uko niambie Ni muda gani watatakiwa kubadilika nakuwa wa zungu.
Kati ya mweusi na mweupe Nani aliekuwa wa Kwanza kuishi duniani?
Kumbuka miaka ya mtu kwa wastani ya kuishi Ni haipiti miambili.
Mtu wa kwanza, kulingana na fossil records alikua ni mweusi kwasababu binadamu wakievolve afrika.
Kwamba kaka zako wako ulaya na hawajasa weupe? Evolution doesn't work like that bro[emoji23] alafu sio kwamba mtu mweusi anageuka kua mweupe, ila ni kwamba random genetic mutations zinatokea, itakayokua perfect fit na mazingira ndio inasurvive. Kwahio ilichukua malaki ya miaka (hundreds of thousands of years). Na unajua kwann waafrika wa sasa hawadhuriki na malaria kama zaman? Random gene mutations, the fittest survive...

Umetumia kitu gani kujiridhisha mtu mweupe kuwepo kabla ya mtu mweusi ni constant. kwa nini hujajiuliza mtu mweupe alitokea wapi?Wazungu kwa hili la kujimilikisha uumbaji wa kwanza wamefaulu.Awali ya yote ningependa kuwasalimu wanajamii wenzangu habari zenu, natumai ni wazima wa afya.
Nina maswali kadhaa ambayo ningependa kupata majawabu kutoka kwenu wana Jamiiforums yatakayo kuwa msaada na faida kwa jamii nzima na kubadili taswira na mtazamo wa jamii nzima juu ya asili ya mtu mweusi [ mwafrika ] na uwepo wake hapa duniani.
Maswali:
1. Je mtu mweusi[ Mwaafrika ] ni uzao wa Adamu na Hawa ?
2. Je Adamu na Hawa walikuwapo pekee duniani ? na Afrika kulikuwa hakuna watu?
3. Je uzao wa mtu mweusi ni kutoka ndani ya Afrika au nje ya Afrika ? Na Kama ni kutoka nje ni kutoka kwa nani watu wa bara la Ulaya [wazungu], watu wa Mashariki ya Kati, watu wa Asia ya mbali au watu wa bara la Amerika?
4. Je inawezekana mtu mweupe kwa mweupe [ mfano mzungu kwa mzungu ] kuzaa mtu mweusi?
N.b: Matusi na lugha za kuudhi hazitakiwi , pia unaweza kuongeza maswali yako kama kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo.
Huyo afro ni mtu maarufu. Hana historia ya kiafrica kwa ndugu zake. Watu weupe wenye pua pana wapo, kama ilivo weusi wenye pua ndefu. Kuhusu malaria ni kwamba waafrika wengi saiv tuna gene ambayo haidhuriki na malaria, ndiomaana wazungu wakija bongo wanaugua sana malaria kuliko sisi...Picha na ukweli wako haviendani.
Mweupe mwenye nywele zetu ni chotara.
Na uyo dogo sio kwamba anapua flat hapana Ni unene tu ndio unao sababisha mwonekano huo.
Naona unafosi udugu na mzungu bro[emoji1787]
Kuusu maleria: zamani zipi izo??
Na ilo jina limeanza lini kutumika ??
Ukitaka jibu la kibiblia, biblia haielezi watu ilikuaje tukawa na rangi tofauti na muonekano tofauti.... ila kisayansi na evolution ni kwamba. Binadamu (homo sapiens) wa kwanza walitokea afrika (walikua weusi) kisha wakaanza kusambaa duniani kote.Picha na ukweli wako haviendani.
Mweupe mwenye nywele zetu ni chotara.
Na uyo dogo sio kwamba anapua flat hapana Ni unene tu ndio unao sababisha mwonekano huo.
Naona unafosi udugu na mzungu bro[emoji1787]
Kuusu maleria: zamani zipi izo??
Na ilo jina limeanza lini kutumika ??
Ndizi tutaendelea kutupiwa sana. Maana syo kizazi cha Adamu, basi automatically mungu aliumba tena mtu mwingne wa kuleta uzao huu wa weusi au ni sokwe waliochangamka 😁Awali ya yote ningependa kuwasalimu wanajamii wenzangu habari zenu, natumai ni wazima wa afya.
Nina maswali kadhaa ambayo ningependa kupata majawabu kutoka kwenu wana Jamiiforums yatakayo kuwa msaada na faida kwa jamii nzima na kubadili taswira na mtazamo wa jamii nzima juu ya asili ya mtu mweusi [ mwafrika ] na uwepo wake hapa duniani.
Maswali:
1. Je mtu mweusi[ Mwaafrika ] ni uzao wa Adamu na Hawa ?
2. Je Adamu na Hawa walikuwapo pekee duniani ? na Afrika kulikuwa hakuna watu?
3. Je uzao wa mtu mweusi ni kutoka ndani ya Afrika au nje ya Afrika ? Na Kama ni kutoka nje ni kutoka kwa nani watu wa bara la Ulaya [wazungu], watu wa Mashariki ya Kati, watu wa Asia ya mbali au watu wa bara la Amerika?
4. Je inawezekana mtu mweupe kwa mweupe [ mfano mzungu kwa mzungu ] kuzaa mtu mweusi?
N.b: Matusi na lugha za kuudhi hazitakiwi , pia unaweza kuongeza maswali yako kama kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo.
Kwani Adam na Hawa ni watu weupe au weusi?Sawa mkuu, tupo kupeana maarifa usisite kutembelea tena hapa kutakuwa na majawabu mazuri ya madau mbalimbali.
Nani aliwaona au aliyethibitisha kwamba rangi zao zilitofautiana? Kunao ushahidi wowote wa kimaandishi labda?Ngozi nyeusi imetoka kati ya watoto wake wawili Cain na habil.mmoja alikuwa mweusi.
Haile sellasi alizaliwa mwaka gani? Au aliishi kuanzia mwaka gani mpaka mwaka gani?Bila shaka huo ni mtazamo wako ila hakuna ukweli wowote.
Nadhani unafaham ama ushawahi kumskia malikia wa Sheba kutoka Ethiopia,
Malkia wa Sheba alizaa na Mfalme Suleman, mtoto aliitwa Meneliki wa Kwanza naye akamza Menelik II, Menelik II akamzaa Haile Sellasie
Swali je hao wote walikuwa watu weupe na ikumbukwe Suleman ni uzao wa Daudi generation ya Baba wa Iman Ibrahim.
Ungesema habar za Evolution kibiologia angalau ungekuwa unaelekea kweny fact japo hakuna empirical evidence.
Kama ni kweli usemayo,,Mimi nilipoanza kujiuliza swali hili nilianza na wangapi walikua watoto wa Adam na Hawa? Je! Jina Hawa lilikua na maana ipi? Ukiangalia mukhtadha wa maswali yako lazima utarejea kwenye vitabu vya kiimani kulingana na dini uliyopo maana kote vitabu vimesimulia kila kitu ni wewe kusoma na kuelewa
Mfano: ukisoma kitabu cha Mwanzo ambacho kimeandikwa na Musa utapata kuona Adam na Hawa baada ya kutenda dhambi ya kufanya kinyume na maelekezo ya Mwenyezi-Mungu na kufukuzwa kwenye Bustani ya Eden walifanikiwa kupata watoto wengi na kati ya hao wanaosimuliwa kwa kuanzia ni wawili ambao ni Abeli na Kaini, baada ya Kaini kumuua nduguye basi Adam na Hawa walipata mtoto mwingine aitwaye Sethi na Sethi ndie aliendeleza uzao wa Adam pamoja na kwamba Adam na Hawa walikua na watoto wengine na ukisoma Bible inaeleza kwamba Adam alikua na watoto wapatao 80 wakati wa uhai wake, Sethi mwana wa Adamu ndie aliendeleza ukoo wa Adam mpaka kufika kwa Nuhu ambae alimpendeza Mungu na Nuhu akaendeleza mpaka kwa Abrahamu....
Maelezo ni mengi ukitaka kujua vizuri anzia kusoma kuhusu watoto wa Nuhu ambao ni Ham, Shem na Yafeti sasa soma kuhusu watoto wa Ham hapo utamkuta Kushi (Ethiopia) na Puti (Libya), hayo maeneo yameandikwa kwenye Bible jaribu kusoma utapata mwanga, kisha fuatilia kwa undani maana ya Cush (dark-skinned person of African descent) utapata mwanga zaidi