Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

Mleta mada naona una upagani ndani yako, sasa sisi sio asili ya Adam na hawa... ni asili ya nani?! Juma na Uledi au?!πŸ€”
 
Adamu na Hawa kwa mujibu wa tafiti mbalimbali hawakuwa wazungu bali watu wa mashariki ya Kati ambao ni weupe mfano waarabu, wajameni , wayaudi n.k turudi kwenye swali Mtu mweusi ni uzao wa Nani ?
Kuna kisa kimoja cha ajabu sana lakini hakijathibitishwa bado kama ni kweli au si kweli... eti kwenye Safina ya nuhu baada ya viumbe kukaidi agizo la mungu kwamba msinyanduane wao wakakaidi wakanyanduana, ndo wakalaaniwa wakawa wanazaa watoto weusi... eti ndo sisi na do mana kila tufanyalo linakwenda mrama.

Eti tuna laana ya enzi na enzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji1787][emoji1787] laana ya ngono [emoji1787][emoji1787]
 
Mzee hivi una akili timamu kweli? Unajua Suleiman aiishi miaka mingapi iliyopita? Au tuseme Hiyo familia walikuwa wanaishi miaka 800 kila mmoja?
 
Ukiangalia katika mtazamo wa uumbaji hii haita make sense. Lakini ukiangalia kwa mtazamo wa evolution, it makes perfect sense. Binadamu wa kwanza walitokea Afrika na kisha kisambaa mabara mengine.

Binadamu wa kwanza walikua weusi kwa sababu ya hali ya jua kali kwahio mtu mwenye ngozi nyeusi ndio aliweza kustahimili hali hio, wenye ngozi nyeupe walikufa hivo hawakuzaliana. Sasa Binadamu walipoanza kusafiri nchi zenye jua kidogo weusi wakawa hawawezi tena kuishi vizuri kwasabab ngozi nyeusi haiwezi kutengeneza vitamin D kwenye mazingira yasio na jua kali kwahio weupe ndio walifanikiwa kuishi na kuzaliana.

Survival for the fittest, you know?

Sent using Jamii Forums mobile app
 






1Weusi walikua wakiishi kwa muda gani mpaka ngozi yao ishindwe kutengeneza vitamin D.

2Fafanua vizuri, Kati ya mweusi na mweupe Nani wa kwanza kuishi duniani.

3 Vitamin D ndio iliyo sababisha mpaka nywele ziwe tofauti nazakwetu?

Mbona sijaona wazungu wenye pua za kibantu.

Jinsi utakavo jibu maswali yataendelea.
 
Ngozi nyeusi unakinga jua, ivo sehemu isio na jua kali ngozi nyeusi haiwezi kufyonza mwanga wa kutosha kutengeneza vitamin D. Ngozi nyeupe inathiriwa na jua kali. Nywele za za kujisokota (kama za mtu mweusi) ni hypothesis kwamba ziko hivo kwaajili ya kukinga macho zidi ya jua kali.

Wapo wazungu wenye pua za kibantu, wapo pia wenye nywele za afro, na ni wazungu. Sababu ya wazungu kua na pua ya vile ni kwasababu mazingira yao wana baridi sana. Kwahio wanahitaji pua kubwa ili anapovuta hewa iwe heated-up

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nipe picha ya mzungu mwenye pua ya kibantu.
Picha ya mzungu nywele afro.

Niambie muda unao takiwa kwa mtu mweusi kubadalika na kua mzungu.

Kwa maana watumwa walienda Sana
Uko.
Nina kaka zangu watatu uko niambie Ni muda gani watatakiwa kubadilika nakuwa wa zungu.

Kati ya mweusi na mweupe Nani aliekuwa wa Kwanza kuishi duniani?

Kumbuka miaka ya mtu kwa wastani ya kuishi Ni haipiti miambili.
 
Mtu mweupe mwenye pua flat na mzungu .wenye afro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzungu mwenye afro...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu wa kwanza, kulingana na fossil records alikua ni mweusi kwasababu binadamu wakievolve afrika.
Kwamba kaka zako wako ulaya na hawajasa weupe? Evolution doesn't work like that bro[emoji23] alafu sio kwamba mtu mweusi anageuka kua mweupe, ila ni kwamba random genetic mutations zinatokea, itakayokua perfect fit na mazingira ndio inasurvive. Kwahio ilichukua malaki ya miaka (hundreds of thousands of years).

Na unajua kwann waafrika wa sasa hawadhuriki na malaria kama zaman? Random gene mutations, the fittest survive...

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Picha na ukweli wako haviendani.

Mweupe mwenye nywele zetu ni chotara.

Na uyo dogo sio kwamba anapua flat hapana Ni unene tu ndio unao sababisha mwonekano huo.

Naona unafosi udugu na mzungu bro[emoji1787]

Kuusu maleria: zamani zipi izo??
Na ilo jina limeanza lini kutumika ??
 
Umetumia kitu gani kujiridhisha mtu mweupe kuwepo kabla ya mtu mweusi ni constant. kwa nini hujajiuliza mtu mweupe alitokea wapi?Wazungu kwa hili la kujimilikisha uumbaji wa kwanza wamefaulu.
 
Huyo afro ni mtu maarufu. Hana historia ya kiafrica kwa ndugu zake. Watu weupe wenye pua pana wapo, kama ilivo weusi wenye pua ndefu. Kuhusu malaria ni kwamba waafrika wengi saiv tuna gene ambayo haidhuriki na malaria, ndiomaana wazungu wakija bongo wanaugua sana malaria kuliko sisi...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka jibu la kibiblia, biblia haielezi watu ilikuaje tukawa na rangi tofauti na muonekano tofauti.... ila kisayansi na evolution ni kwamba. Binadamu (homo sapiens) wa kwanza walitokea afrika (walikua weusi) kisha wakaanza kusambaa duniani kote.

Sasa walioenda maeneo ya ulaya kulingana na hali ya kule, waka-evolve kua spicies ya Binadamu wengine (homo Neanderthalensis) kumbuka hapo afrika homo sapiens wengine walibaki na kwasababu wao walikua fit kwa mazingira ya afrika, walibaki na sifa zilezile... sasa baadae baadhi yao wakasafiri tena na kufika maeneo ya ulaya, wakakutana na wale homo neanderthalensis, wakajamiana nao. Ndoo maana mpaka leo wazungu wana asilimia kadhaa ya DNA za Neanderthals.

Neanderthals walitoweka (wako extinct) na sababu bado haijulikani lakini watafiti wa mambo ya kale wanafikir kwamba waliuliwa na binadamu wa sasa, homo sapiens. Homo neanderthalensis wao walikua na ubongo mkubwa kuliko sie...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndizi tutaendelea kutupiwa sana. Maana syo kizazi cha Adamu, basi automatically mungu aliumba tena mtu mwingne wa kuleta uzao huu wa weusi au ni sokwe waliochangamka 😁
 
Ngozi nyeusi imetoka kati ya watoto wake wawili Cain na habil.mmoja alikuwa mweusi.
Nani aliwaona au aliyethibitisha kwamba rangi zao zilitofautiana? Kunao ushahidi wowote wa kimaandishi labda?
 
Haile sellasi alizaliwa mwaka gani? Au aliishi kuanzia mwaka gani mpaka mwaka gani?
 
Kama ni kweli usemayo,,

Je ilikuwaje watu wakajigawa Kwa matabaka?
Inamaana kama wangekuwa wamezaliwa pamoja lazima Africa wangekuwapo watu weupe/wachina/wahindi kabla ya bara la Africa halijagunduliwa..
Kwann walikuwa ni watu weusi pekee ?
Au Asia ilikuwaje ni Asians pekee,
Europeans walikuwa weupe pekee.
Na walifikaje upande mwingine wa mabara?

Haya mambo ni fikirishi sana,,
Kikubwa ni kumwamini Mungu yupo ,,mengine ni kutafuta kufuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…