Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Hata ukiwa kijana unabidi kukaa kimya Sana kuongea Sana Ni upuuziKuna umri ukiishafikia hutakiwi kuongea hovyo umri wa kuanzia miaka 55 na kuendelea unatakiwa usiongee vitu kwa kutafuta sifa kwenye jamii au watu waliokuzunguka jitahidi sana kuchunga kauli zako unazozitoa mwisho wa siku utaonekana ni mzee wa hovyo ni heri kijana wa hovyo kuliko mzee wa hovyo
Hao sijui tuwaweke kundi gani🤔Unakuta mzee anashinda kwenye vijiwe vya bodaboda anaongelea mademu na kuchora chura [emoji23]
hao sijui tuwaweke kundi gani[emoji848]
na wale wanaotembea na watoto wadogo?Ahahaha wazee wa ovyoo hao
na wale wanaotembea na watoto wadogo?
dah! dunia hii bwana, utakuta anatembea na mtu analingana umri na mtoto wake wa mwisho, wazee wa hovyo kabisaHao wameluka stage ni wazee waliokosa mahalifa sana sana hao wanakuwa wastaafu
dah! dunia hii bwana, utakuta anatembea na mtu analingana umri na mtoto wake wa mwisho, wazee wa hovyo kabisa
Tulikubaliani ni ofisi za usafirishaji na sio vijiwe vya bodabodaUnakuta mzee anashinda kwenye vijiwe vya bodaboda anaongelea mademu na kuchora chura [emoji23]
Tulikubaliani ni ofisi za usafirishaji na sio vojiwe vya bodaboda
Umesamehewa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] nilipitiwa na usingizi