Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Inasikitisha sana Jamaa Jicho Kodo kwenye angle ya kitanda.Jamaa alisafiri akampigia simu mke wake akamuuliza uko wapi!? Mwanamke akasema niko nyumbani.
Jamaa akamwambia kama uko nyumbani kweli kaa kitandani then mwambie dada wa kazi akupige picha then unitumie WhatsApp.
Mwanamke akafanya hivyo, ila alivyotuma tu na ndoa yao ikaishia hapo hapo.
Kwenye hii picha kuna shida gani ambayo ilipelekea hiyo ndoa kufa!?π€
View attachment 3568898
Mossad kwenye moja na mbili π€£π€£π€£
Alafu huyo jamaa ni ndebile Intelligent businessmanInasikitisha sana Jamaa Jicho Kodo kwenye angle ya kitanda.
Mkeka ushachanika
Yupo kwenye kona ya HomuzKuna muhuni chini ya mto au
Yote kwa yote ndoa imekufaAlipigwa picha kwa kutumia sim gani wakati sim yake ipo kwenye chaji..??
Kwanini hakupiga picha full bed ionekane..??
Lijamaa linazingua kweli yaani na mimacho limetoa au limeona kama mbwai na iwe mbwai ππππMkeka ushachanika
Tukiwaambia kwenye ndoa zao kuna watoto wetu wanakaza fuvu bwasheeMossad kwenye moja na mbili π€£π€£π€£
amejificha kama makombora ya Iran chini ya ardhi π€£π€£π€£Yupo kwenye kona ya Homuz
hata akijificha haisaidiiamejificha kama makombora ya Iran chini ya ardhi π€£π€£π€£
Ila mwanamke akiamua lake hata shetan anaona hurumaLijamaa linazingua kweli yaani na mimacho limetoa au limeona kama mbwai na iwe mbwai ππππ
Na mtu akioa akiwaza habari za kuchapiwa lazima pressure imuueIla mwanamke akiamua lake hata shetan anaona huruma
Hakuna hata cash out πMkeka ushachanika
Kenge maji weweAlafu huyo jamaa ni ndebile Intelligent businessman