Mtu na boss wake

Kila mnyonge ana mnyonge wake.
Azam waligeuza rfa ni shamba lao, wakawang'oa
1. Baruan
2. Ahmed Alli
3. Ivona
4. Raymond Nyamwihula
5. Hassan Mvula
6. Steve Moyo nk.
Ikafika kipindi ukitazama azam, ni sawa na kutazama star tv ya zamani kwa 80%.
Kabisaaaa
 
Ila haya maisha kweli ni kuwahi yaani Kitenge amekuwa mwajiriwa wa mtoto wa Tandale, Kitenge kutoka gazeti la Mfanyakazi miaka hiyo wakati hata Diamond hajaanza shule ya vidudu wala hajui maiki ni kitu gani,akaja kwa Majizzo enzi hizo Majizo anatumwa na akina Kitenge pale Radio One ,baada ya muda kibao kikageuka akawa yeye na Sebo ndio wa kutumwa,vilevile Sebo alikuwa bosi wa Majizzo EA radio ,baada ya muda sasa anatumwa na Majizzo.Kweli maisha ni mzunguko usimdharau aliyechini kuna siku atakuwa juu yako,Edo nae kawa mtu wa kutangatanga tu.
 
Hili ni funzo kubwa sana, siku zote kesho ni fumbo kwetu..hujui nani atakua nani na yupi atakua msaada kwako, hivyo yatupasa kuishi vizuri na kila mtu. [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…